Kaongea maneno mazito,hasa ile kuwa kati ya sasa na October ni parefu lolote laweza tokea.Asante,nemsikiliza,kumbe alikuwa na nyome ya watu wanamsikiliza nilijua alikuwa anaongea na waandishi tu
Habari ndo hiyoHayo maandishi kwenye bag alillopewa Magufuli ni ya kweli au ni makosa ya kiuandishi?
Amesema lkn kuwa hakuna ajuae Mungu kapanga nn juu yake na Magu pia. Oct. mbali tutegemee lolote hapa katikati.Huo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
Labda atagombea nafasi ya ubunge, akiendelea kumsumbua rais Magufuli kitakachofuata ni msiba huko kwaoMembe atagombea kupitia ccm
Chadema inajitosheleza kila kitu
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100 kuwa bila tume huru hakuna uchaguzi unaostahili kuitwa uchaguzi ila tatizo ni kukosekana kwa msimamo wa pamoja wa wapinzani kuhusu jambo hili hivyo najua watashiriki tu mradi kunadi vyama vyao na kuonyesha nguvu ya watu walio nyuma yao kupitia mikutano ya kampeni lakini sio kutangazwa washindi pale watakaposhinda unless wana mipango ya siri ambao labda sisi hatuijui.Mkuu hongereni kwa hayo maono yenu. Hivi kweli tatizo la sasa ni aina ya mgombea wa upinzani au kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi? Nisiwe mnafiki, kumchukua Membe kuwa mgombea wa upinzani, ni kosa kubwa kuliko lile kosa walilofanya wapinzani la kumchukua Lowassa 2015. Ni wapi tunakwama, mbona tatizo la msingi lipo wazi kuwa tume kutokuwa huru ndio tatizo la msingi lilipo? Bila tume huru ya uchaguzi, ni wendawazimu wapinzani kushiriki huo utapeli uitwao uchaguzi.
Membe ana mikwara mbuzi tu, hakuna cha sisi wala mimiKauli ya Membe ya SISI SISI SISI Nani kaielewa?
Sijaona dalili ya Membe kupanic. Ni kweli kwa katiba yenu, kwamba maamuzi ya kamati kuu ni mapendekezo? Kwamba anayefukuza mi Halmashauri Kuu?Mbona km umepanic Mkuu
Fomu achukue tu ila akubaliane na matokeo
kama hakubali aende ACT ajipime uzito na Magufuli
Mrembo unajisikiaje kuanzia mwaka 2015 kila mwaka wa uchaguzi CCM kunakuwa na mvurugano? Halafu wa kipindi hiki ni mvurugano haswaa maana Jiwe kaivunjavunja CCM. Halafu hivi na urembo wote unahangaika na Jiwe!Hata Mh. Lowasa wafuasi wake aliwaaminisha hivyo hivyo ila kwa sasa wewe mwenyewe anajua
Kuna mtu hii kauli inamrudisha tena mpakani hadi uchaguzi upite.Kaongea maneno mazito,hasa ile kuwa kati ya sasa na October ni parefu lolote laweza tokea.
Hamna kupaniki hapo...membe ndiye anapeperusha bendera ya upinzani.acha kupanic wewe utapasuka.piece ndo manini
Kama umeona clip kwa umakini, aliposema kati ya juni na octoba aliongeza usiriaz na aliangalia kwenye deski na kuangalia tena watu. Body language, anajua kabisa anagombea urais bali kupitia chama kingine.Amesema lkn kuwa hakuna ajuae Mungu kapanga nn juu yake na Magu pia. Oct. mbali tutegemee lolote hapa katikati.
Membe atagombea kupitia ccm
Wenzako wapo kazini! Malipo ni kwa thread na sio comment