Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Demokrasia ni pamoja na Membe kukubali kushindwa.CCM acheni roho mbaya,toeni fomu ya kugombea urais ili Membe achukue.Demokrasia imewekwa kwapwani ndani ya CCM.CCM lazima mjue mnachukiwa sana kwa kitendo hiki.Mtasababisha mpasuko mkubwa sana kuliko ule wa 2015
Waungwana hatuna kauli za namna hii, jitafakari mkuu. Amani na upendo ndio imetupasa kuwa nguzo yetu. Siasa zisitufanye wajinga......Ofisi gani intampa hizo fomu, Kama anatumwa na K. Kikwete na wanamtandao aende chama chochote maana jumatatu fomu hapewi ofisi yoyote ya CCM, na ajiandae kweli kweli anaemtuma kachelewa angempa urais 2015, watu wa pwani walijiaminisha ccm washaimiliki sasa ndio basi na ccm hamtaikamata tena. Aanzishe vita bwege huyu tutamfuata huko aliko na AK47 tumevumilia sasa basi, ruhusa inachelewa sana, moto auwashe hio wiki ijayo. Hio corona ya Bibi zake.
Wapi huko salama? Kwa bibi yako?FORM TUMEPRINT MOJA TU
HA HA HAAA, ANAENDA PHOTOCOPY KWA MKUU?
MAANA KUNA SOFT COPY MOJA IPO KWENYE FLASH DISK NA IPO SEHEMU SALAMA
CCM acheni roho mbaya,toeni fomu ya kugombea urais ili Membe achukue.Demokrasia imewekwa kwapwani ndani ya CCM.CCM lazima mjue mnachukiwa sana kwa kitendo hiki.Mtasababisha mpasuko mkubwa sana kuliko ule wa 2015
Habari yakuamka mkuu!
Demokrasia ni pamoja na Membe kukubali kushindwa.
Hasilete chokochoko atakuja kujutia maisha yake yote.
Magufuli hajaribiwi
Dikteta amekamata chama zee hakuna mtu mwingine kuruhusiwa. Nimeona picha polisi na wanajeshi wamelazimishwa Kumuunga mkono mwenyekiti. Nchi imeharibiwa vibaya sana mambo ya kienyeji ndio utaratibu mpya.Bado umelala Mkuu naona ndoto yako inakusumbua amka kumekucha
CCM acheni roho mbaya,toeni fomu ya kugombea urais ili Membe achukue.Demokrasia imewekwa kwapwani ndani ya CCM.CCM lazima mjue mnachukiwa sana kwa kitendo hiki.Mtasababisha mpasuko mkubwa sana kuliko ule wa 2015
Inafahamika mgombea wa ccm akiwa anaenda kugombea miaka mingine mitano tunamuachia nafasi, huyu membe hizi chokochoko za niniDikteta amekamata chama zee hakuna mtu mwingine kuruhusiwa. Nimeona picha polisi na wanajeshi wamelazimishwa Kumuunga mkono mwenyekiti. Nchi imeharibiwa vibaya sana mambo ya kienyeji ndio utaratibu mpya.
Mmemshindanisha na nani akashindwa??Demokrasia ni pamoja na Membe kukubali kushindwa.
Hasilete chokochoko atakuja kujutia maisha yake yote.
Magufuli hajaribiwi
Ccm hakuna demokrasia.Inafahamika mgombea wa ccm akiwa anaenda kugombea miaka mingine mitano tunamuachia nafasi, huyu membe hizi chokochoko za nini
Kwani magu ye nani?Demokrasia ni pamoja na Membe kukubali kushindwa.
Hasilete chokochoko atakuja kujutia maisha yake yote.
Magufuli hajaribiwi
Inafahamika mgombea wa ccm akiwa anaenda kugombea miaka mingine mitano tunamuachia nafasi, huyu membe hizi chokochoko za nini
Ingekuwa tume huru ya uchaguzi angeenda Mkuu.Mbona km umepanic Mkuu
Fomu achukue tu ila akubaliane na matokeo
kama hakubali aende ACT ajipime uzito na Magufuli
Kwa hivo upinzani mmeshakubali kushindwa tayari?Zanzibar hakuna option,kile ni kiini macho tu.CCM bara tayari wanajua Rais wa Zanzibar atakuwa nani sababu wao ndiyo hupanga Rais awe nani kule Zanzibar!
Katiba ya ccm inasema hivyo according to Mkwe wa zitto bwana BulemboHuu ni utamaduni au ndio katiba ya CCM?
Magufuli is an incumbent president anatakiwa aachiwe miaka yake mitano amalize kwa amaniKwani magu ye nani?
Ccm kuna indirect democracy kwa sababu ina wanachama wengi sana nchiniCcm hakuna demokrasia.