Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

CCM acheni roho mbaya,toeni fomu ya kugombea urais ili Membe achukue.Demokrasia imewekwa kwapwani ndani ya CCM.CCM lazima mjue mnachukiwa sana kwa kitendo hiki.Mtasababisha mpasuko mkubwa sana kuliko ule wa 2015
Demokrasia ni pamoja na Membe kukubali kushindwa.

Hasilete chokochoko atakuja kujutia maisha yake yote.

Magufuli hajaribiwi
 
Ofisi gani intampa hizo fomu, Kama anatumwa na K. Kikwete na wanamtandao aende chama chochote maana jumatatu fomu hapewi ofisi yoyote ya CCM, na ajiandae kweli kweli anaemtuma kachelewa angempa urais 2015, watu wa pwani walijiaminisha ccm washaimiliki sasa ndio basi na ccm hamtaikamata tena. Aanzishe vita bwege huyu tutamfuata huko aliko na AK47 tumevumilia sasa basi, ruhusa inachelewa sana, moto auwashe hio wiki ijayo. Hio corona ya Bibi zake.
Waungwana hatuna kauli za namna hii, jitafakari mkuu. Amani na upendo ndio imetupasa kuwa nguzo yetu. Siasa zisitufanye wajinga......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM acheni roho mbaya,toeni fomu ya kugombea urais ili Membe achukue.Demokrasia imewekwa kwapwani ndani ya CCM.CCM lazima mjue mnachukiwa sana kwa kitendo hiki.Mtasababisha mpasuko mkubwa sana kuliko ule wa 2015
Habari yakuamka mkuu!
Demokrasia ni pamoja na Membe kukubali kushindwa.

Hasilete chokochoko atakuja kujutia maisha yake yote.

Magufuli hajaribiwi
Bado umelala Mkuu naona ndoto yako inakusumbua amka kumekucha
Dikteta amekamata chama zee hakuna mtu mwingine kuruhusiwa. Nimeona picha polisi na wanajeshi wamelazimishwa Kumuunga mkono mwenyekiti. Nchi imeharibiwa vibaya sana mambo ya kienyeji ndio utaratibu mpya.
 
CCM acheni roho mbaya,toeni fomu ya kugombea urais ili Membe achukue.Demokrasia imewekwa kwapwani ndani ya CCM.CCM lazima mjue mnachukiwa sana kwa kitendo hiki.Mtasababisha mpasuko mkubwa sana kuliko ule wa 2015

Hizi kauli zake huyu bwana zina kitu ndani yake na zinaweza kuthibitisha wasiwasi wako;

"....wakinikatalia kugombea ama halmashauri kuu ikithibitisha kunifukuza, basi nakitakia kila la heri chama changu - CCM hiyo katika uchaguzi wa oktoba ....."

[SUB]Cheki na hii;[/SUB]

[SUB]".......huu uchaguzi ndani ya CCM bila mimi hautanoga. Mimi ndiye mnogeshaji uchaguzi huu. Sitaingia katika mtego. Hiyo inaitwa Shilabati....utanasa......"[/SUB]
 
Dikteta amekamata chama zee hakuna mtu mwingine kuruhusiwa. Nimeona picha polisi na wanajeshi wamelazimishwa Kumuunga mkono mwenyekiti. Nchi imeharibiwa vibaya sana mambo ya kienyeji ndio utaratibu mpya.
Inafahamika mgombea wa ccm akiwa anaenda kugombea miaka mingine mitano tunamuachia nafasi, huyu membe hizi chokochoko za nini
 
Ila kusema ukweli raha ya uchaguzi ni uwepo wa 'options'...kama Zanzibar vile

wajuzi wa mambo hapa kwetu inawezekana mwingine kuchukua fomu?.
 
Zanzibar hakuna option,kile ni kiini macho tu.CCM bara tayari wanajua Rais wa Zanzibar atakuwa nani sababu wao ndiyo hupanga Rais awe nani kule Zanzibar!
Kwa hivo upinzani mmeshakubali kushindwa tayari?
 
Kwa humu JF hilo ulisemalo limeshatokea siku nyingi sana. Lakini huko mitaani hali ni tofauti sana. Sasa Membe anamshinda Magufuli kwa lipi?

Kwa story za JF unaweza dhani Serikali iliyopo madarakani inaanguka siku inayofuata, lkn miaka 5 imeisha.
 
Back
Top Bottom