Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Mkuu, huo mkutano sijauelewa kidogo. Hao watu wanaonekana, ndio waliohudhuria, au wamebandikwa tu kunogesha huo ujumbe wake?
Membe Team wanashida sana. Wanaelewa jamaa yao hakuna kitu hapo wanafanya kuangalia upepo upoje. If he is a man, let him go to stand on the nail. Mambo mengine ni upuuzi mtupu
 
CCM inaweza kuangushwa na watanzania kufanya civil disobedience tu hao wengine hakuna atakayeweza.

Membe ambaye hata kumwangusha mkewe tu hawezi aje aiangushe ccm ?

Acheni kujipa matumaini hewa ni matumizi mabaya ya matumaini
Sasa kama ni imara namna hiyo mbona imejawa na hofu kiasi kikubwa?
 
Huo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
Mkuu usitumie nguvu nyiiiiiiingi kumjadili Membe, kwani Membe ni CCM na CCM ni Membe. Mengineyo mengi ni zuga tu ili mnaozugwa mwaminishwe ya kuwa wanachama wa CCM wanao uhuru wa kuikosoa CCM pasipo kufukuzwa uanachama kama vyama vingine vifanyavyo
 
Kwa nini Membe anaogopwa hivi? Mwacheni atumie haki yake ya kidemokrasia ndani ya chama chake. Kama hakubaliki si atamwagwa tu na wajumbe?
 
Bashiru na wenzake wanajua na ndio maana fomu ikawa moja halafu si fomu ya kugombea urais, ni fomu ya kugombea kuongoza vyombo vya Dola, Fomu za urahis tunasubiri mpaka 2025
Kwa chama hiko hiko cha CCM..,..

Kwani nyinyi maccm kwa akili zenu mnadhani mmemfukuza Membe kwa Katiba ya CCM kweli?

Sasa ndiyo mtakapoijua mbivu na mbichi
Bashiru na wahuni wenzake ndio atajua hajui[/QUOTE]
 
Sasa kama ni imara namna hiyo mbona imejawa na hofu kiasi kikubwa?
ccm haina hofu yoyote maana wanajua kuwa wako na vitu vyote vya kuweza kushinda uchaguzi.

ccm itazidiwa pale tu mnaanza kufanya civil disobedience kwa vitendo na siyo makelele ya mitandaoni.

Politically ccm ilishaloose footing kwa wananchi hata wanaccm wenyewe kinachotakiwa ni wanasiasa wa mageuzi kuzungumza lugha ambayo wananchi wanataka kusikia.
 
Mrembo unajisikiaje kuanzia mwaka 2015 kila mwaka wa uchaguzi CCM kunakuwa na mvurugano? Halafu wa kipindi hiki ni mvurugano haswaa maana Jiwe kaivunjavunja CCM. Halafu hivi na urembo wote unahangaika na Jiwe!
CCM hatuna mvurugano, tunakula bata tu kwa sasa maana hata wewe mwenyewe moyoni mwako ni CCM.
 
Mbona kuna tetesi kuwa form iliyochapishwa ni moja tu nayo ni ya kugombea Uongozi wa vyombo vya dola.
 
Mkwe wa ZZK anasemaje ??? Hamtaki mjukuu ?? Hamtaki mjomba Membe ?? Usiemtaka kaja
 
CCM hatuna mvurugano, tunakula bata tu kwa sasa maana hata wewe mwenyewe moyoni mwako ni CCM.
CCM ina wenyewe, unakumbuka JK alimshinda Mkapa,lakini Mwl.Nyerere tena Raisi mstaafu na mwenyekiti mstaafu mara akaibua hoja ya kuwa mshindi lazima apate zaidi ya 50%.
Mara baada ya zengwe hilo akaingia jikoni na kushawishi wajumbe wa Zanzibar wakapiga block vote na kumaliza mchezo.

Kwanini Mwl.Nyerere aliibua hoja hiyo mara baada ya kuona mtoto pendwa ameanguka vibaya kwa sababu Mwl.Nyerere ndio alikuwa mwenye chama.
Hadi sasa chama kina wenyewe,au mwenyewe akiamua /wakiamua Membe anaweza akarudishiwa uanachama na mambo mengine.
 
Nimeisikikiza hotuba ya Membe lakini kwa waliomuelewa inajulikana kabisa hakuna fomu ingine ndani ya ccm, kwa hio lolote alilosema linaweza kutokea kwa sababu shughul za kumtafuta rais wa nchi zinafanyika hivi sasa, hivyo hawezi kusubiri mpaka NEC ya ccm ikakae mwezi wa saba wakati huo kila chama kina wagombea wake..kwa maneno mengine Membe anaibukia Upinzani na karata yake hasa itakua Chadema.
 
Weka akiba ya maneno Mkuu , Ccm imeshatoa fomu kwa mgombea wake na ni utaratibu wa ccm kuwa hivyo...sasa hiyo fomu ya Membe atapewa na nani? Membe atahamia upinzani kwa mlango wa act wazalendo sababu Chadema wanayakumbuka ya Lowassa 2015
Benard Membe ndiye mgombea Urais kupitia CCM mwaka huu, ni suala la muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…