Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Membe Team wanashida sana. Wanaelewa jamaa yao hakuna kitu hapo wanafanya kuangalia upepo upoje. If he is a man, let him go to stand on the nail. Mambo mengine ni upuuzi mtupuMkuu, huo mkutano sijauelewa kidogo. Hao watu wanaonekana, ndio waliohudhuria, au wamebandikwa tu kunogesha huo ujumbe wake?
Ahaaaa basi sawa, na tuendelee kulamba miguu..Katiba ya ccm ya magufuli
Sasa kama ni imara namna hiyo mbona imejawa na hofu kiasi kikubwa?CCM inaweza kuangushwa na watanzania kufanya civil disobedience tu hao wengine hakuna atakayeweza.
Membe ambaye hata kumwangusha mkewe tu hawezi aje aiangushe ccm ?
Acheni kujipa matumaini hewa ni matumizi mabaya ya matumaini
Mkuu usitumie nguvu nyiiiiiiingi kumjadili Membe, kwani Membe ni CCM na CCM ni Membe. Mengineyo mengi ni zuga tu ili mnaozugwa mwaminishwe ya kuwa wanachama wa CCM wanao uhuru wa kuikosoa CCM pasipo kufukuzwa uanachama kama vyama vingine vifanyavyoHuo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
Yeye ni mwanachama hai wa CCM.Kwani lazima agombee kupitia CCM vyama vipo vingi aende Chadema,ACT ,CUF .Membe kitu gani bana.Tukutane kwa debe .
Hayo ya kale, tunataka ya leo leo.Alipimwa 2015 akapwaya, tena akiwa kwenye mbeleko ya mwenyekiti.
Kwa nini Membe anaogopwa hivi? Mwacheni atumie haki yake ya kidemokrasia ndani ya chama chake. Kama hakubaliki si atamwagwa tu na wajumbe?Sioni ushawishi wowote wa ukweli wa kisiasa alionao Membe, sana sana ninachoona ni yeye kutokukubali kuwa kondoo kwa Magufuli kama walivyo wengine. Pia nguvu ya ushawishi ya kweli ya chama cha ACT iko pemba/Zanzibar, sehemu ambayo ni ndogo sana. Lakini kwa huku bara chama cha upinzani chenye ushawishi mkubwa ni CDM. Hata Lowassa hakuwa na ushawishi wowote wa kisiasa hiyo 2015, bali alikuta cdm ikiwa imepata hamasa kubwa. Vinginevyo angejiunga chama kingine angepata chini ya za Anna Mghwira.
Hata hivyo sitaki kuamini eti tatizo la upinzani ni mgombea, kwangu tatizo hasa la wapinzani kupata kura, ni tume isiyo huru ya uchaguzi. Iwapo wapinzani hawatasimamia hili kwa nguvu zote, itakuwa ni upotevu wa rasilimali muda na fedha. Ni bora kususia siku ya kupiga kura na kuhamasumisha wananchi kutokutokea siku ya kupiga kura, ili kushinikiza uwepo wa tume huru ya uchaguzi.
Bashiru na wahuni wenzake ndio atajua hajui[/QUOTE]Kwa chama hiko hiko cha CCM..,..
Kwani nyinyi maccm kwa akili zenu mnadhani mmemfukuza Membe kwa Katiba ya CCM kweli?
Sasa ndiyo mtakapoijua mbivu na mbichi
ccm haina hofu yoyote maana wanajua kuwa wako na vitu vyote vya kuweza kushinda uchaguzi.Sasa kama ni imara namna hiyo mbona imejawa na hofu kiasi kikubwa?
CCM hatuna mvurugano, tunakula bata tu kwa sasa maana hata wewe mwenyewe moyoni mwako ni CCM.Mrembo unajisikiaje kuanzia mwaka 2015 kila mwaka wa uchaguzi CCM kunakuwa na mvurugano? Halafu wa kipindi hiki ni mvurugano haswaa maana Jiwe kaivunjavunja CCM. Halafu hivi na urembo wote unahangaika na Jiwe!
Anachukua kwa chama kipi?
Duh! Sijajua una ushabiki maandazi Kama Huu Daudi MchambuziTulia sindano ikuingie
CCM ina wenyewe, unakumbuka JK alimshinda Mkapa,lakini Mwl.Nyerere tena Raisi mstaafu na mwenyekiti mstaafu mara akaibua hoja ya kuwa mshindi lazima apate zaidi ya 50%.CCM hatuna mvurugano, tunakula bata tu kwa sasa maana hata wewe mwenyewe moyoni mwako ni CCM.
Comrade hapo kwenye Praise Team unaimba sauti ya ngapi?Duh! Sijajua una ushabiki maandazi Kama Huu Daudi Mchambuzi
Benard Membe ndiye mgombea Urais kupitia CCM mwaka huu, ni suala la muda tu.