Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

yaaani kweli membe unaongea kwa kujiamini kuwa bila wewe kugombea, uchaguzi hauwezi kunoga?!
nimetafakari sana kauli hii, sina hakika!! kuna nini tusicho kijua sisi watanzania sote ambacho membe peke yake ndicho anakijua ?! mimi sijui ila nimetafakari sana
 
Haita fika mwezi wa 9 Chadema hakijafutwa, Membe anaweza kutupwa jela kwa matumizi mabaya ya hela kwenye wizara aliyokuwa akihusumu hapo kabla
 
ukweli ambao watanzania wengi amufahamu ni kwamba raisi huteuliwa kisha ndo nyinyi mtanchagua,ili mtu akubalike kuwa raisi wa taifa fulani ni lazma taasisi fulani zimuidhinishe rais hachpuki tu kama uyoga
 
Kuna mambo mawili nimeyaona.
1. Membe kuhutubia umati wa Wana Lindi.
2. Membe kuonekana kujiamini mno.
3. Membe kusema Oct. bado mbali
mtegemee lolote linaweza kutokea.

Sasa hapo najiuliza kwanini iwe hivyo tena wakati huu?? Kwanini Magu alichukua fomu haraka?? Je aliona jambo fulani mbeleni?? Je ni jambo gani waliloambiwa Wana Lindi walitegemee kutokea??
Kwanini anasema bila yeye uchaguzi hautanoga?? Kwanini aone umuhimu wa Tume Huru ya Uchaguzi hivi sasa??
 
Mkuu Pascal Mayalla! uko sawa,
ila tazamaMtazame Membe katika 'angle nyingine'
Membe anajaribu kukwepa mitego ya CCM ,lakini naona na yeye kawatega,
Soon utawasikia CCM wakitowa kauli nzito ama kumbariki achukue fomu au Kumfukuza Rasmi.

Kiuweli mimi katika kauli ya Membe nimeshika neno Moja kubwa.
''Uchaguzi unafanyika October, Hivi sasa ni mwezi wa sita, Hapa kati kati lolote linweza kutokea"
Maneno haya yatailazimisha NEC imfukuze kwa jumla ili asiwe tishio kwa Dikteta Uchwara.
Hatime akifukuzwa atakuwa na uhakikisho wa kuingia chama cha Upinzani ili kuchukua fomu na kogombea Uraisi.
Si wezi kubashiri ni chama gani hasa,lakini ACT au Chadema wanaweza kumpa fupa la kun'gon'gona.
kwa kufanya hivyo
Huku haswa ndio kunogesha kwenyewe!
 
Membe bhana mitandao inampaisha tu lakini ukweli huyu jamaa hakuna kitu, mtu mwenye maamuzie Magumu na alikuwa na wafuasi wengi ni Lowasa, tuliuona mtiti wa Lowasa ,huyu anazunguka wee wakati huo anajua ccm jua lilisha zama , ni matumaini hewa kudhani membe ata mshinda Magufuli ccm, mwambieni aangalie upande mwingine ili tuwe na ushindani katika uchaguzi wa mwaka huu.
 
Kuna taarifa ZA chini chini, dhidi ya NEC kukataa kabsa Membe kufukuzwa na taarifa hizo zinadai asilimia 50%ya wananec wanamtaka Membe na hawatakubali taarifa ZA kufukuzwa kwake.
 

Wanashindanishwa wapi?
 
Jinsi alivyozoea kuisigina Katiba ya nchi, Jiwe anafikiri anaweza kufanya vivyo hivyo hata kwenye Katiba ya CCM.....

Hivi sasa kakumbana na wenye Chama wanaotaka kisimamia Katiba yao, Jiwe ametahayuri asijue la kufanya!
 
Hahahahha.... Vijana mna kazi!

Hao nec ndio waliomfyeka Lowasa pamoja na kwamba wajumbe waliimba ukumbini kwamba wana imani na Lowasa.

Nyie hata muwekewe kujifunza kwa picha hamuwezi kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…