Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Utamfuata na AK47 wewe kama mwanachama wa ccm?
 
Huo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
Acheni huu ujinga kama hakuna wakumpinga mbona mmetoa fomu moja
 
Magufuli kafanya nini cha maana?
 
Mgawanyiko mkubwa ulikuwa enzi za JK sio sasa. Hii furahisha baraza na tutarudi hapa baada ya Oct na stori za malalamiko ya kushindwa.
Jk hakutumia bunduki huyu wenu watu wanaigiza kama kuna shwari Ila ukweli wanaogopa kutekwa
 
Kama membe wenu angekuwa na ushawishi anaowaaminisha hako kakikundi kake kule mtama.

Kwa nini asigombee kupitia chama chochote kile kama unapendwa unavyojinasbisha mbona usiwe shujaa.

Halafu mgombea ni wewe ila kauli zako unadai sisi, je wewe na watu gani wazungu?
 
Aise...
Hivi bado kuna wanaowaza kushindana na magu? Yaani kwa hapa tz upinzini kuchukua nchi bado sana labda damu imwagike au umoja wa mataifa uingilie kati ma tume iliopo ibadilishwe
Kama ni kweli povu zanini mpaka mnatoa fomu moja
 
Kweni yeye ni chama gani??
Tumememfukuzaaa aendeee mbele huko..

Halafu asijidanganye etii watu wa kusini wanamuwazia.. hopeless kabisa nani amuwazie huyooo?

Alishasafiri kwa nyota ya Kikwete sasa kwishneii kabisa, sisi wanaKusini TUNAENDA NA MAGUFULI MPAKA AZEEKE TUUU..

NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA YAANI NIKIWA NAMAANISHA KWAMBA MEMBE HATA UKIGOMBEA UDIWANI HUKU KUSINI HAUPATIII..

RAIS WETU MAGUFULI TUNAMKUBALI NA TUTAMLINDA KWA FAIDA YA WATANZANIA WOTE.
 
Kukiwa na sintofahamu kuhusu nani na nani watajitokeza kuchukua fomu huko Tanzania bara dhidi ya kinyang'anyiro cha urais wa JMT, kuna clip inatembea ikisema kuwa j3 ya kesho comrade Membe anakwenda kuchukua fomu rasmi za kuwania kuingia kwenye mchujo wa yeye na mwenyekiti wake JPM.

Kupitia ukurasa wake wa tweeter kalonga haya...

"Si kweli! Clip hiyo imechakachuliwa! Nilisema jana kuwa Mimi nimefukuzwa CCM na Kamati Kuu bila ya idhini ya NEC. Kama Kamati kuu itanisafisha na kusema kuwa mimi bado ni mwana CCM, tutajaza kugombea Urais J3 asubuhi."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…