Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Kumbe hata huko matanga United Kuna watu wanajua hii tume ya uchafuzi Tanzania si time huru.Kweli bila kuwa na akili za maiti huwezi kuwa mwanaccm au hata shabiki wa ccm
 
Mwambieni CCM hakuna fomu nyingine. Ilikuwa moja tu na ilikuwa ishaandikwa jina.
Aende ACT labda.
 
Hivi si alifukuzwa ccm au amechukua kwa tiketi ya chama gani?
 
Sisi wana ccm tuna imani na mh Membe na ndiye chaguo letu
Hahahahaaaa toeni ndoto zenu za alinacha hizo apitishwe na nani hata fomu yenyewe akipewa basi aende akatambike, membe sio mwanachama wa CCM hana hadhi ya kuchukua fomu
 
Isingekua sheria inamtambua mshindi wa pili kwa kura nyingi katika uchaguzi Mkuu ili kukiwezesha chama kupata Ruzuku kubwa pamoja na mchango wake katika kupata wabunge wa viti maalum (ambao CHADEMA waliamua kugawana kama vinyumba ndogo vyao) sidhani kama kuna mtu yupo tayari kuingia kwenye ring moja na JPM

Sizungumzii ushabiki bali fikra pana za kuielewa siasa na makando kandoye.
 
Ofisi za chama zitafungwa au wahusika kutokuwepo lengo kumkwamisha asiweze tekeleza dhamira yake ya kuchukua fomu hiyo J3
 
Sisi wana ccm ndiyo tutamkabidhi hiyo form, maana iliyoka ni kwa ajili ya kugombea kwenye vyombo vya dola, ya urais bado haijatoka anayo Bashiru
Ofisi gani intampa hizo fomu, Kama anatumwa na K. Kikwete na wanamtandao aende chama chochote maana jumatatu fomu hapewi ofisi yoyote ya CCM, na ajiandae kweli kweli anaemtuma kachelewa angempa urais 2015, watu wa pwani walijiaminisha ccm washaimiliki sasa ndio basi na ccm hamtaikamata tena. Aanzishe vita bwege huyu tutamfuata huko aliko na AK47 tumevumilia sasa basi, ruhusa inachelewa sana, moto auwashe hio wiki ijayo. Hio corona ya Bibi zake.
 
Naomba nitunze hii for future use.
 
Back
Top Bottom