Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Huo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
Vijana wa chuo mna tabu sana
 
Ofisi gani intampa hizo fomu, Kama anatumwa na K. Kikwete na wanamtandao aende chama chochote maana jumatatu fomu hapewi ofisi yoyote ya CCM, na ajiandae kweli kweli anaemtuma kachelewa angempa urais 2015, watu wa pwani walijiaminisha ccm washaimiliki sasa ndio basi na ccm hamtaikamata tena. Aanzishe vita bwege huyu tutamfuata huko aliko na AK47 tumevumilia sasa basi, ruhusa inachelewa sana, moto auwashe hio wiki ijayo. Hio corona ya Bibi zake.
Hivi uwezi kutetea hoja yako bila kutaja matumizi ya silaha sijui AK 47.... hivi ukipewa unaweza kuitumia kweli au unadhani ni kulenga na kupull triger eh ....... acheni vitisho vyenu
 
Huo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
Wahenga wanasema "Bora ya jini kuliko shetani."

Hata kipindi cha dola ya ki-Fursi na Roma zilivyopigana kuna jamii zilionelea dola fulani fulani ishinde na nyengine nyengine ishindwe ijapokuwa dola hizo zote zilikuwa ni dhoruba lakini alikuwepo mwenye uafadhali.
 
Mbona umepanik kijana nchi yetu sote wewe wanasiasa wanakusadiaje kama mtu na Familia yako mpaka ukusudie kuua?
Ofisi gani intampa hizo fomu, Kama anatumwa na K. Kikwete na wanamtandao aende chama chochote maana jumatatu fomu hapewi ofisi yoyote ya CCM, na ajiandae kweli kweli anaemtuma kachelewa angempa urais 2015, watu wa pwani walijiaminisha ccm washaimiliki sasa ndio basi na ccm hamtaikamata tena. Aanzishe vita bwege huyu tutamfuata huko aliko na AK47 tumevumilia sasa basi, ruhusa inachelewa sana, moto auwashe hio wiki ijayo. Hio corona ya Bibi zake.
 
Membe ndiyo chaguo letu wana ccm na hakuna mwingine zaidi yake
Mbona chadema mnahangaika kuiona CCM ikipata mgogoro?

Membe alikwisjafutika kwenye mawazo ya CCM.
Ni vema mkajikita kupanga safu za wagombea wenu wa ubunge badala ya kuhangaika na CCM maana hii ccm sio ile ya JK ambayo mlikuwa mkiisumbua.
Hii ni CCM chuma JPM.

Nyie kalieni kudandia hoja badala ya kuangalia kule kina Mdee wanakimbiwa na makampeni managers!

Au rekebisheni huyu mzee wa faru john. [emoji116]
View attachment 1484853
 
Back
Top Bottom