Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Huo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
Vijana wa chuo mna tabu sana
 
Hivi uwezi kutetea hoja yako bila kutaja matumizi ya silaha sijui AK 47.... hivi ukipewa unaweza kuitumia kweli au unadhani ni kulenga na kupull triger eh ....... acheni vitisho vyenu
 
Huyo anataka kufukuzwa uanachama
 
Huo urais aende akagombee chadema au ACT lakini sio CCM na haita kuja itokee membe awe rais wa tanzania ,hana vigezo wala hata nusu ya kumfikia Dr. Magufuli hakuna wa kumpinga magufuli ndani ya CCM. Over.
Wahenga wanasema "Bora ya jini kuliko shetani."

Hata kipindi cha dola ya ki-Fursi na Roma zilivyopigana kuna jamii zilionelea dola fulani fulani ishinde na nyengine nyengine ishindwe ijapokuwa dola hizo zote zilikuwa ni dhoruba lakini alikuwepo mwenye uafadhali.
 
Mbona umepanik kijana nchi yetu sote wewe wanasiasa wanakusadiaje kama mtu na Familia yako mpaka ukusudie kuua?
 
Membe ndiyo chaguo letu wana ccm na hakuna mwingine zaidi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…