Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Zanzibar hakuna option,kile ni kiini macho tu.CCM bara tayari wanajua Rais wa Zanzibar atakuwa nani kwa sababu wao ndiyo hupanga Rais awe nani kule Zanzibar!
Basi na huku tufanye tu japo kiini macho apewe fomu mwingine japo tunajua mshindi ni nani.,

namna ya kumaliza ubishi ni kumpa wembe...unaogopa nini wkt wananchi wanakukubali kwa kazi nzuri?
Magu yuko vizuri sn ila for democracy purposes.....
 
CCM acheni roho mbaya,toeni fomu ya kugombea urais ili Membe achukue.Demokrasia imewekwa kwapwani ndani ya CCM.CCM lazima mjue mnachukiwa sana kwa kitendo hiki.Mtasababisha mpasuko mkubwa sana kuliko ule wa 2015
CCM inaweza kuangushwa na watanzania kufanya civil disobedience tu hao wengine hakuna atakayeweza.

Membe ambaye hata kumwangusha mkewe tu hawezi aje aiangushe ccm ?

Acheni kujipa matumaini hewa ni matumizi mabaya ya matumaini
 
Hizi kauli zake huyu bwana zina kitu ndani yake na zinaweza kuthibitisha wasiwasi wako;

"....wakinikatalia kugombea ama halmashauri kuu ikithibitisha kunifukuza, basi nakitakia kila la heri chama changu - CCM hiyo katika uchaguzi wa oktoba ....."

[SUB]Cheki na hii;[/SUB]

[SUB]".......huu uchaguzi ndani ya CCM bila mimi hautanoga. Mimi ndiye mnogeshaji uchaguzi huu. Sitaingia katika mtego. Hiyo inaitwa Shilabati....utanasa......"[/SUB]
Kitaturu nawewe umeingia kwenye huu mtego wa kitoto namna hii?

Membe hawezi kuifanya chochote ccm hana ushawishi wowote hata kwenye mkoa anaotoka sembuse kuisumbua ccm ?
 
Ye akalime tu korosho walishauza chama hawana pa kuingilia,walipigiwwa Sana kelele katiba ya chama chenu itakufengi system ikiwatema wakaweka pamba.
Eti Leo membe,sumaye, Lowasa ndo wanajua umuhimu wa katiba na tume huru.

Hii si ni sawa na ya mugabe eti anapigia kura upinzani ushinde kwa tume aliyoitumia kukandamizia upinzani.
Membe atulie tu akalime korosho.
Si ajabu kina jiwe, bashite, wakajiunga upinzani siku mfumo ukiwatupa,Hali nao wameweka pamba Kama walivofanya kina Mkapa, Lowasa, membe,sumayi walipokuwa kwenye sytem
 
Form ilikua moja tu.na secretali mtoa form kapewa likizo ya miezi sita nje ya nchi,ofisini kuna kufuli ya kilo sita.kwisha habari.
 
Form ilikua moja tu.na secretali mtoa form kapewa likizo ya miezi sita nje ya nchi,ofisini kuna kufuli ya kilo sita.kwisha habari.
 
Back
Top Bottom