Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi na huku tufanye tu japo kiini macho apewe fomu mwingine japo tunajua mshindi ni nani.,Zanzibar hakuna option,kile ni kiini macho tu.CCM bara tayari wanajua Rais wa Zanzibar atakuwa nani kwa sababu wao ndiyo hupanga Rais awe nani kule Zanzibar!
Magufuli is an incumbent president anatakiwa aachiwe miaka yake mitano amalize kwa amani
Tumuache Magufuli amalize miaka 10, akiwa bado anafaa tunampa tena miaka 10 mingineAachiwe..!!!
Tumuache Magufuli amalize miaka 10, akiwa bado anafaa tunampa tena miaka 10 mingine
Magufuli hana hofu na mtu yoyoteUongozi sio kuachiwa tu wala kuonewa huruma, apimane ubavu na wengine... kama anafaa hofu ya nini.?
Achana na tamaduni Mkuu, Katiba na iheshimiwe.Inafahamika mgombea wa ccm akiwa anaenda kugombea miaka mingine mitano tunamuachia nafasi, huyu membe hizi chokochoko za nini
CCM inaweza kuangushwa na watanzania kufanya civil disobedience tu hao wengine hakuna atakayeweza.CCM acheni roho mbaya,toeni fomu ya kugombea urais ili Membe achukue.Demokrasia imewekwa kwapwani ndani ya CCM.CCM lazima mjue mnachukiwa sana kwa kitendo hiki.Mtasababisha mpasuko mkubwa sana kuliko ule wa 2015
Akipatikana mtu wa kum challenge Magufuli atapewa form, huyo Membe kisiasa alishajifia, wala hana ushawishi wowote ule.Achana na tamaduni Mkuu, Katiba na iheshimiwe.
Kitaturu nawewe umeingia kwenye huu mtego wa kitoto namna hii?Hizi kauli zake huyu bwana zina kitu ndani yake na zinaweza kuthibitisha wasiwasi wako;
"....wakinikatalia kugombea ama halmashauri kuu ikithibitisha kunifukuza, basi nakitakia kila la heri chama changu - CCM hiyo katika uchaguzi wa oktoba ....."
[SUB]Cheki na hii;[/SUB]
[SUB]".......huu uchaguzi ndani ya CCM bila mimi hautanoga. Mimi ndiye mnogeshaji uchaguzi huu. Sitaingia katika mtego. Hiyo inaitwa Shilabati....utanasa......"[/SUB]
Kwa mujibu wa katiba IPI..????Inafahamika mgombea wa ccm akiwa anaenda kugombea miaka mingine mitano tunamuachia nafasi, huyu membe hizi chokochoko za nini
Katiba ya ccm ya magufuliKwa mujibu wa katiba IPI..????