Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] membe bhanaHivi kuna mtu humu anayeweza kuleta kumbukizi zake, juu ya ile gari ya mhindi iliyonaswa na maburungutu ya minoti 'cash' makao makuu ya chama Dodoma kwenye kinyang'anyiro cha urais mwaka '15, zilikuwa ni za nani kwa jina na hilo saga liliishia wapi?
Na nawaona watapelekewa mgombea sio muda mrefu Kama walivyopelekewa 2015 na wanaandaliwa kumpigia Makofi.Nishawahi sema...CDM wanaandaliwa mgombea wa urais toka ccm.
Niwekee wewe hicho kifungu,sijui nisome ya mwaka gani,mana chadema kuna katiba tatu na zote zinatumika kutegemea na mazingiraKati ya wanasiasa Nassary naye unamhesabu, kuhusu Mbowe kasome katiba ya Chadema
Afukuzwe kwa kosa la kuwa na nia ya kugombea uraisi? Hapa akili unakuwa umeziweka wapi?Kwanza anatakiwa kuchukuliwa hatua na Chama chake baadae ile sauti yake iliyodukuliwa kusambaa. Hii ya kugombea anasema ili wakimfukuza apate agenda ya kisiasa eti baada ya kuonesha nia ya kugombea urais 2020 ndo amefukuzwa chamani.
Membe anatakiwa kufukuzwa fasta CCM ili akastaafie siasa akiwa opposition.
Walikuja na waraka baada ya kumtukana Mkuu wa Nchi wakidhani wapo gizani kumbe ni kama Mbuni wameficha kichwa makalio yapo nje nje! Huo waraka haukuwa na nia njema kwa kuwa walikuwa wamepanga hujumaMakatibu wamekuja na waraka kwa nia njema tu, tumeona walivyoshambuliwa kwa matusi sijui ndiyo demokrasia unayoisema.
Huu ni mwaka wa 10 mnazungumzia uenyekiti wa Chadema, wenye chama wala hawana habari nanyi wanaendelea tu na chaguzi zao, na mwaka huu wanamchagua tena ili kibarua chenu kiendelee.Niwekee wewe hicho kifungu,sijui nisome ya mwaka gani,mana chadema kuna katiba tatu na zote zinatumika kutegemea na mazingira
Mwaka huu mbowe akifanya uchaguzi nitasusa kula mwezi mzimana mwaka huu wanamchagua tena ili kibarua chenu kiendelee.
Kwahiyo badala ya kutumia vikao kuwasikiliza demokrasia ikawatuma muwatukane.Walikuja na waraka baada ya kumtukana Mkuu wa Nchi wakidhani wapo gizani kumbe ni kama Mbuni wameficha kichwa makalio yapo nje nje! Huo waraka haukuwa na nia njema kwa kuwa walikuwa wamepanga hujuma
Wanaumia sana lln hawana jinsiHivi nyinyi moods wa humu jf hii habari si niliileta Jana Uzi mkaufuta ,ina maana haukuwa wa kweli au mna watu wenu mnaowataka waandike wengine tuwe wasomaji tu na wachangiaji ?
Naiona CCM iliyopasuka.
Kikwete alikuwepo Dar ila hakukaribishwa kwenye ufunguzi wa Uwanja.
Jina lake lilitajwa kama aliyetoa wazo na si mwanzilishi wa ujenzi.
Kikwete akawa kaenda zake kuhani msiba kwao Mbowe
Usipokua na fikra huru utasumbuka sana, fikiri nje ya boksi mkuuhakuna kitu hapo labda wewe ndiyo TISS
2020Membe for presidency
Alishashindwa 2015,huyu atakuja Chadema kuwazungusha vichwa badala ya mikono