Uchaguzi 2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

Wachaga mnatukana mnavyotaka, wengine wakiandika hivyo mnawapiga ban, acheni ubaguzi ili labda wengine waweze kuwapigia kura pia.

Barbarosa

Tuhuma za uongo hizo...

Most often nakula ban like anyone else!

Plus,unachokiona tusi kwako sio kwa sisi wengine na moderators!

Matusi ni very subject sana!

Kwako wewe tusi kwa yule sio tusi!
 
Oya Kama kweli hivi
Hao jamaa wapo humu kweli?
(Naweza Amini ukifafanua zaidi )
 
Tatizo hapq siyo kujenga swala kubwa hapa ni usimamizi na nidhamu kwa pesa zetu wananchi.

Nidhamu ipi, hujaona madudu aliyoyaibua CAG huko?
Trilion 2.4 hazina maelezo yaliyonyooka
Miradi inafanywa kwa maamuzi ya Mtu na mtoto wa dada yake muidhinisha fedha badala ya fedha kuidhinishwa na bunge halafu ili kuficha madudu, shirika linawekwa chini ya Ofisi ya mtu ambako CAG hana jurisdiction ya kukagua.

Usimamizi na Nidhamu gani ya pesa unayoizungumzia wewe?
 
Ngoja tuone...

Isije kua ni njia ya kuua upinzani... sababu kama attention yote tutailekezea kwa Magufuli vs Membe 2020...

Ya wapinzani tutayaweka kapuni... lets wait and see...


Cc: mahondaw
 
Hapo sasa ndo ametangaza vita rasmi labda ahame nchi kwa muda
 
Kwa nini Magufuli asifukuzwe chama anayedukuwa mawaziri and ya wenziwe yeye ya kwake yakiwekwa wazi atasemaje maana kadukuliwa vya kutosha
 
Niyatazamapo maandishi yako, ninaiona sura ya Bernard. Ni kwamba kitengo kimegawanyika? Au ni hofu zangu boss??
 
Muombee wewe na Familia Yako sio lazima utulazimishe kulikubali jiwe. 2020 ni MEMBEEE.
Membe kuwa Rais!! Hapana kwa kweli. Heri ya Magufuli wetu. Tumwombee Magu,aache hofu ajiamini;awe na hekima na busara,aache kiburi.
 
Membe alikuwa na nafasi kubwa sana by 2015 kuliko aliyonayo 2020.

Namuona Membe akienda kujaribu bahati yake huko upinzani
Ha ha bashite amekuambia anapambana na Magufuli ccm nyota yake inang"ara ccm
 
Hapo sasa ndo ametangaza vita rasmi labda ahame nchi kwa muda
Katiba ya nchi ipo wazi kila mwenye miaka 18 yupo huru kuchagua na kuchagulia Magufuli mroho wa madaraka atulize boil 2020 sio rahisi sana kwake 2015 nchi ili kuwa shwari sasa tupo vitani na udikteta na ufisadi uuwaji na ukabila wake ha ha ninauhakika atakimbia nchi kabla jogoo hajawika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…