Uchaguzi 2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

Mambo yanabadilika , dunia Nayo inabadilika niwakwati wa ccm nayo kuishi tofauti na kukariri.
 
Amekuwa waziri miaka 8. Atuonyeshe kitu kimoja (kimoja tu) alichofanya..namaanisha kimoja tu!
 
Akishinda uraisi mimi nitamuomba aniruhusu nimfanyizie Musiba kwenye tuzi.
Nina chupa nzima ya mafuta ya zaituni mpaka asubuhi yanafika.
 
Habari kama hizi hutakiwa kuambatana na kakideo chake akiongea.

Tofauti na hapo ni stori tu za kitaa.
 
Here is what I see in Membe’s quest rather lust for highest political position on land. He is likely to be part of the gifted mockery people. There is Mugabe, well known for his witty and sarcastic quotes. Of course Mugambe is highly educated person, not comparable to Membe whose only asset is the so called experience.

With Membe, I suspect he is likely to be known for his satiric and bitterness-originated quotes. Hebu tuungane kukumbuka quotes ambazo zitamuweka kwenye limelight.

“Nikipata urais, nitamfunga Lowasa”
“Nitagombea hata kama sina akili”
 
tunakuombea muheshimiwa membe ktk safari yako ya kusaka uraisi
 
#IstandWithMembe2020#
#MwagaPombe2020#
#KaziNaBata#
#SendHimBackToChato#
 
Nangojea ile International Airport ya Chato itakavyoota mibuyu.
 
Nyie endeleeni kumpaisha tu!! Ingawa mnafikiri ndio mna mharibia
 
Katangazaaa mapemaaa...ilimpasa mipangoo iwe chini chinii...kwa utawalaa huu uliopo...mapema tuuu tutaanza na ngonjera za "bring back Membe"
 
Kwa wenye upeo washajua hizi kauli sio bahati mbaya bali ni calculated moves...


Watu wanachokoza makusudi kabisa ili moto uwashwe maana moto ukishawaka wataungua wote hakuna anayebaki salama, Genocide mission.
 
.
 
Walimchukua Lowassa,nikapoteza uaminifu kabisa nao.Hata Magu akishindwa 2020 halafu akahamia upinzani wanaweza mpa kijiti 2025..HAWANA WANACHOKISIMAMIA HAWA JAMAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…