Uchaguzi 2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

Ni Patamu haijawahi kutokea, hapa membe kule lissu, pale yule. Itapendeza Sana
 
Kwakweli
 
Hata mwanangu wa miaka nane ukimwambia Membe atamshinda Magufuli kwenye uchaguzi atakataa na atakushangaa.
 
Usifikiri membe yupo pekeyake kuna watu wazito wapo nyuma yake
 
Membe shikilia hapo hapo mwanawane huyu msukuma Wa Kirundi arudi kwao chattle akavue dagaaa
 
Hata mwanangu wa miaka nane ukimwambia Membe atamshinda Magufuli kwenye uchaguzi atakataa na atakushangaa.
Ccm hata wakimsimamisha musiba watashinda Tu ishu kubwa ni jinsi ya kushinda Kwenye Kura za maoni ndani ya chama.
Usifikiri membe ameibuka Tu kutaka kugombea uraisi isipokuwa kuna mipango inaandaliwa chinichini ili magu apigwe chini Kwenye mchakato wa kumtafuta mgombea,
 
Hata mwanangu wa miaka nane ukimwambia Membe atamshinda Magufuli kwenye uchaguzi atakataa na atakushangaa.

Hata kijana mdogo wa wakati huo, asiyejulikana aitwaye Nyerere wakati alipowaambia watanganyika kuwa atalig'oa jabali, super power muingereza kuna watu walicheeeeka. Lakini muingereza aling'oka hakung'oka?
 
huu ni uhaini
Uhaini kwa vipi Mkuu Eliungata??

Kwani Katiba ya Chama Cha Mapindizi inasemaje??

Si inasema kuwa Rais kipindi chake ni kimoja, ila wanachama wa Chama hicho wakiridhika wanaweza mpa kipindi kingine cha pili??
 
Hata kijana mdogo wa wakati huo, asiyejulikana aitwaye Nyerere wakati alipowaambia watanganyika kuwa atalig'oa jabali, super power muingereza kuna watu walicheeeeka. Lakini muingereza aling'oka hakung'oka?
Acheni kujifariji kwa vitu mnavyojuwa kutoka mioyoni mwenu kuwa haviwezekani, ninkupoteza mda. Siasa za Tanzania zinajulikana.
 
Kavimbewa korosho...Membe hata kama
atashindanishwa na jiwe,,jiwe linashinda
 
Acheni kujifariji kwa vitu mnavyojuwa kutoka mioyoni mwenu kuwa haviwezekani, ninkupoteza mda. Siasa za Tanzania zinajulikana.
Nani alitegemea Magufuli atakuwa rais, maana hata yeye anashangaa ilikuwaje akawa rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…