Uchaguzi 2020 Membe: Mimi nilitafuta wadhamini kimya kimya kukwepa mtego wa kuvunja kanuni na kuanza kampeni mapema

Kipindi gani mtu akianza kampeni inakuwa ni mapema
 
Msijitoe ufahamu, Lissu ni Makamu Mwenyekiti wa chama chake. Wakati wowote na muda wowote ule hakuna sheria inayomzuia kuwasiliana na Wanachama wake kama ilivyo kwa polepole, mangula, bashiru na wengineo wanavyofanya. CCM acheni bange.
 
He is not a lawyer but diplomat. Lawyers are aggressive within the limits of law, but diplomats are always risk evading.
 
Upuuzi mtupu nani aliongea Zanzibar na kusema atawatoa mashehe wa uhamsho akichaguliwa kuwa Rais?

Wanatufanya watanzania wote wapumpavu kama wao.
Anajuwa ameshalikoroga na matarajio yake yameshapotea,anahangaika.
 
Upuuzi mtupu nani aliongea Zanzibar na kusema atawatoa mashehe wa uhamsho akichaguliwa kuwa Rais?

Wanatufanya watanzania wote wapumpavu kama wao.


Pole mkuu naona umeandika ukiwa na ghadhabu nyingi.. ila nikukumbushe ACT na CDm wapo kwenye mazungumzo ya kusimamisha gombea mmoja.
 
..kutafuta wadhamini kimya-kimya ni utamaduni wa ccm.

..siyo sheria ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Naomba nikuulize swali kaka, je alichosena Membe ni sahihi au siyo sahihi ? Kama alichokisema ni sahihi vipi awe anawasaidia CCM au anafanya fitna ? Au mtu akisema ukweli anakuwa mfitini ? Msaada tafadhali.
 
Kosa la Membe ni kuwasanua Tume!? Kila mtu apambane na hali yake
 
Upuuzi mtupu nani aliongea Zanzibar na kusema atawatoa mashehe wa uhamsho akichaguliwa kuwa Rais?

Wanatufanya watanzania wote wapumpavu kama wao.
HUYO MEMBE NI KIBARAKA TU WA CCM WANATUFANYA SISI WAJINGA SIO
 
Naomba nikuulize swali kaka, je alichosena Membe ni sahihi au siyo sahihi ? Kama alichokisema ni sahihi vipi awe anawasaidia CCM au anafanya fitna ? Au mtu akisema ukweli anakuwa mfitini ? Msaada tafadhali.
Alichoongea ni unafiki, halafu Lisu alikuwa anafanya mikutano kutafuta wadhamini sio kupiga kampeni.

Yeye Zanzibar alienda akasema nitawatoa viongozi wa Uamusho gerezani hizi sio kampeni.

Membe mnafiki tu anasubiri huruma ya Magufuli kwenye teuzi.
 
Mimi nitabaki kusimamia ukweli tu kuwa CDM lissu kawashika Akili na kujikuta mnakurupuka kwa kuwaaminisha kuwa yeye anaijua Sheria wakati haiju. Sasa subirieni kuvuna mlichokipanda nyumbu nyie.

Inawezekana kweli Lisu hajui sheria, lakini mahakama yet ambayo ndio taasisi vya kutafsiri sheria, ni kituko kingine kwenye dunia hii ya sheria.
 
Tatizo chadema mnakuwa kama mmelogwa, Membe na ACT waliusoma mchezo in advance ndio maana walitafuta wadhamini kimyakimya, Chadema tatizo Lenu ni too much know na mihemuko mnakosa watu wenye ueledi kuwasaidia

Shauri yenu ,ila ishatoka hiyo mlitegwa mkategeka

LISUU OUT
 
Ninyi hemkweni tu alafu jina lisiporudi mtatafuta pa kutokea.

Halitarudi sio kwasababu za kuanza kampeni mapema, bali ni kwakuwa Magufuli hawezi ushindani. Huyo Membe anayejifanya kuongea kwa kufuata utaratibu, si ndio huyo wamemfukuza huko ccm kwa kutia nia kugombea ndani ya ccm dhidi vya Magufuli? Lisu kapinga 2 in 1, kusaka wadhamini na mikutano ya kisiasa hapo hapo, maana aliyeiweka katazo haramu alishairuhusu. Hao ambao hawafanyi mikutano ya kisiasa kwa sasa ni hofu yao tu.
 
Embu tupe iyo sheria ya tume tuisome wewe mataga mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…