Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi gani mtu akianza kampeni inakuwa ni mapema
Swali la nyongeza Kwa chama gani?..baada ya kutangazwa na tume kuwa mgombea, na kabla ya muda wa kuanza kampeni uliotangazwa na tume.
He is not a lawyer but diplomat. Lawyers are aggressive within the limits of law, but diplomats are always risk evading.Mgombea Urais wa Chama cha ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema wao wamepata wadhamini katika mikoa kumi
Amesema ACT-Wazalenda waliamua kutafuta wadhamini kimyakimya ili kuepuka kuteleza
Majina wa wateule wa kugombea Urais yanatarajia kutolewa na Tume ya Uchaguzi, NEC Agosti 25, na kampeni zitaanza Agosti 26
Chanzo: ITV
Hawa watu vichwa vyao havifanyi kazi. Achana nao.Kwani ccm walivyokusanya wasanii uhuru Stadium haikuwa kampeni kabla ya kipenga?
Anajuwa ameshalikoroga na matarajio yake yameshapotea,anahangaika.Upuuzi mtupu nani aliongea Zanzibar na kusema atawatoa mashehe wa uhamsho akichaguliwa kuwa Rais?
Wanatufanya watanzania wote wapumpavu kama wao.
Upuuzi mtupu nani aliongea Zanzibar na kusema atawatoa mashehe wa uhamsho akichaguliwa kuwa Rais?
Wanatufanya watanzania wote wapumpavu kama wao.
Naomba nikuulize swali kaka, je alichosena Membe ni sahihi au siyo sahihi ? Kama alichokisema ni sahihi vipi awe anawasaidia CCM au anafanya fitna ? Au mtu akisema ukweli anakuwa mfitini ? Msaada tafadhali.Kwa hiyo Chadema waliotafua wadhamini hadharani wameteleza.?
Kwa hii kauli haoni kama anawasaidia CCM na Tume ya Uchaguzi kufanya fitina.
Upepo wa Lissu unamtesa Sana huyu Membe kuliko nguvu ya CCM.
CCM inapenda watu waoga waoga kama Membe ili ipate kuwaburuza.
Halafu yeye Membe alivyoenda Zanzibar Yale maandamano na zile ahadi jukwaani alikuwa anafanya nini.
Inawezekana Membe ndio mchawi wa Lissu kuliko hata CCM wenyewe.
Kosa la Membe ni kuwasanua Tume!? Kila mtu apambane na hali yakeKwa hiyo Chadema waliotafua wadhamini hadharani wameteleza.?
Kwa hii kauli haoni kama anawasaidia CCM na Tume ya Uchaguzi kufanya fitina.
Upepo wa Lissu unamtesa Sana huyu Membe kuliko nguvu ya CCM.
CCM inapenda watu waoga waoga kama Membe ili ipate kuwaburuza.
Halafu yeye Membe alivyoenda Zanzibar Yale maandamano na zile ahadi jukwaani alikuwa anafanya nini.
Inawezekana Membe ndio mchawi wa Lissu kuliko hata CCM wenyewe.
HUYO MEMBE NI KIBARAKA TU WA CCM WANATUFANYA SISI WAJINGA SIOUpuuzi mtupu nani aliongea Zanzibar na kusema atawatoa mashehe wa uhamsho akichaguliwa kuwa Rais?
Wanatufanya watanzania wote wapumpavu kama wao.
Chawa wa CCM yule.Kosa la Membe ni kuwasanua Tume!? Kila mtu apambane na hali yake
Alichoongea ni unafiki, halafu Lisu alikuwa anafanya mikutano kutafuta wadhamini sio kupiga kampeni.Naomba nikuulize swali kaka, je alichosena Membe ni sahihi au siyo sahihi ? Kama alichokisema ni sahihi vipi awe anawasaidia CCM au anafanya fitna ? Au mtu akisema ukweli anakuwa mfitini ? Msaada tafadhali.
Mimi nitabaki kusimamia ukweli tu kuwa CDM lissu kawashika Akili na kujikuta mnakurupuka kwa kuwaaminisha kuwa yeye anaijua Sheria wakati haiju. Sasa subirieni kuvuna mlichokipanda nyumbu nyie.
Lowassa alifanya mikutano nchi nzima na hakukatwa sembuse mikoa sita? Mtateseka sana na huyo mgombea wenu utopoloKuna watu washapiga kampeni mikoa sita
Ninyi hemkweni tu alafu jina lisiporudi mtatafuta pa kutokea.
Kwa nini akatwe?Ni vema tuwaachie wanachi waamue kupitia kura zao.Tundu Lisu anakatwa na hakuna kitu wewe au yeye mtafanya, ...
Embu tupe iyo sheria ya tume tuisome wewe mataga mkubwaTatizo chadema mnakuwa kama mmelogwa, Membe na ACT waliusoma mchezo in advance ndio maana walitafuta wadhamini kimyakimya, Chadema tatizo Lenu ni too much know na mihemuko mnakosa watu wenye ueledi kuwasaidia
Shauri yenu ,ila ishatoka hiyo mlitegwa mkategeka
LISUU OUT