Uchaguzi 2020 Membe: Naufahamu uwezo wa Lissu, nitahakikisha anapata kazi kwenye serikali yangu

Maoni yangu haya hapa
 
Reactions: PNC
Mkuu Unataka tukae hapa kumjadili kichaa?
 
Muacheni. Mzee kavurugwa.
 
Dakika ya 88 hii mpeni muda golden boy Membe
 
Membe ni comedian mzuri tu sijui kwa nini hajakitambua kipaji chake hiki angekuwa zaidi Bill Cosby
 
Mchezaji anaamua kupiga wachezaji wenzake chenga dakika ya 89 hee kamlamba mpaka kipa wake chenga kabakia peke yake je atapaiza ama ataweka kimyani
Dakika ya 89.5 Mshambuliaji wa ACT anacheza na Mpira kwny mstari wa goli wa timu yake
 
Acha apige kelele,tunajua zimebaki siku 3 tu,tufanye yetu.
 
Huyu kachero mbobezi hana tofauti kubwa sana na Dr. Shika. This guy is delusional. Anaishi dunia yake mwenyewe kwenye fikra zake.
 
Watu dizaini ya Membe wapogi

Uchaguzi uliopita counter attack ya dk za mwisho ya Slaa na Lipumba ilikuwa hatarii zaidi

Nasita kumpuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…