chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Membe baada ya uchaguzi anarudi CCM.
Lissu ndio mpinzani wa kwelii.
Lissu ndio mpinzani wa kwelii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maoni yangu haya hapaMembe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.
Wakuu yapi maoni yenu?
Alisema humu humu kuwa “tulieni Kuna watu wana akili”Zitto ndo wa kulaumiwa. Kwa nini walimkaribisha huyu Membe kwenye chama chao ?
Mkuu Unataka tukae hapa kumjadili kichaa?Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.
Wakuu yapi maoni yenu?
Muacheni. Mzee kavurugwa.Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.
Wakuu yapi maoni yenu?
Jina linakufanana.Hii ndio Dk 89 tunawapiga bao mawakala wa mabeberu! Lissu kwisha hbr yake, Maalimu naye Kule Zenji Chali umoja wa wabunge tunampeleka mahakamani!
AkapimweLabda serikali ya jimbo la Mtama!
Membe ni comedian mzuri tu sijui kwa nini hajakitambua kipaji chake hiki angekuwa zaidi Bill CosbyMembe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.
Wakuu yapi maoni yenu?
Dakika ya 89.5 Mshambuliaji wa ACT anacheza na Mpira kwny mstari wa goli wa timu yake
Ipigwe marufuku...Bange halijawahi kumuacha mtu salama
Hakujifunza CHADEMAZitto ndo wa kulaumiwa. Kwa nini walimkaribisha huyu Membe kwenye chama chao ?