Kwani fomu za kuomba uteuzi zipo CCM pekee.
Tangu wakati wa Mwalimu watu walioweza kuitunishia msuli serekali ni watu wa Bukoba tu. Sema historia inafunikwa tu.Vipi ile kauli yenu ya kusema wanakusini ni waoga bado ipo!
Membe, our Prestige
5/5
Mbona amefukuzwa kama haogopwi
HahahaAtakuwa alikuwa anapita humu jf alafu akafikiri tz nzima ndio iko hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kichaa anayeweza kulazimisha kugombea wakati CCM ndiyo inayokupitisha! CCM ikikataa atagombeaje?
JF na Twitter Vimemponza.
Huyu mzee hakuna anayemzungumzia kwenye mijadala huko mitaani. Hakuna.
Mgombea wa mitandaoni na safari imeishia mitandaoni.
Yeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.
Anaogopwa kwa lipi hasa?
Kujipa tu umuhimu ambao hana.
ShibudaUrais mtamu sana... Wakati wa Kikwete kuna yule Msukuma (Jina nimemsahau) aliyetishia kugombea... Alifanywa figisu mpaka akakimbia chama.
Watu wabaya sana, wamemponza mzee wa watu.
Angekuwa anaenjoi pensheni yake bila presha, sasa ana kazi kubwa ya kurejesha heshima yake. Watu waone hivi hivi tu.
Kusini kuchele. Yule Mgosi Makamba ndio hovyo kabisa kumbe aliomba msamaha kimyakimya!Vipi ile kauli yenu ya kusema wanakusini ni waoga bado ipo!
Membe, our Prestige
5/5
Nyerere ni binadamu sio malaika so sio kila alichozungumza ndivyo kilivyo marekani taifa kubwa dunia marais kadhaa wakiwa madarakani walichinjwa kama kuku na nchi ilisonga sembuse huyu dikiteta uchwara kutikiswa?
Sasa mbona wamemkata?
CCM wamejenga taswira kama wanamuogopa kwa kumkata uanachama, hata kama hawamuogopi.
Akisema kwamba nimefukuzwa uanachama kwa sababu hawataki nim challenge Magufuli, that is a plausible narrative.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ujinga upo Africa tu nchi za watu hawana ushwaini huu sema inatokeaga rais anatetea nafasi yake na anashinda kihalali bila figisu huku Africa ndo tunaona Kama vile umafia umetumika wakati siyo.Ni wachache Sana hasa Africa na duniani pia, awepo madarakani, (na tena zaidi awe na known legal optional chance of a second term) na kwa mamlaka ya madaraka aliyo nayo aruhusu mtu ajipitishe wakati ni threat to the post of the highest level of human achievement to a particular society,. Ujue figisu pamoja na jina lake baya (perception) ni shughuli yenye ofisi smart kabisa na huonekana matendo yake ni sahihi kwa wenye ofisi yao ya figisu.
Sent using Jamii Forums mobile app