Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Kwani fomu za kuomba uteuzi zipo CCM pekee.
Huyy mnafiki tu hana lolote. 2010 kipindi Kikwete anaenda awamu ya pili huyuhuyu ndio alikuwa mstari wa mbele kushawishi watia nia hasa kambi ya Lowassa wasichukue fomu. ikuwa akimtumia Rostam kuomba Kikwete asipingwe.
Leo kaona nini analazimisha kugombea kinyume na utamaduni wa chama chake? Akafia mbele, alitaka akatwe ndio ajiondoe CCM, sasa wamemsaidia kumwondoa hana issue tena na hana wa kumfuata hata akaijiynga na chama chochote. Good timing anayway