Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Sasashida nini si wamuache achukue fomu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani fomu za kuomba uteuzi zipo CCM pekee.

Huyy mnafiki tu hana lolote. 2010 kipindi Kikwete anaenda awamu ya pili huyuhuyu ndio alikuwa mstari wa mbele kushawishi watia nia hasa kambi ya Lowassa wasichukue fomu. ikuwa akimtumia Rostam kuomba Kikwete asipingwe.

Leo kaona nini analazimisha kugombea kinyume na utamaduni wa chama chake? Akafia mbele, alitaka akatwe ndio ajiondoe CCM, sasa wamemsaidia kumwondoa hana issue tena na hana wa kumfuata hata akaijiynga na chama chochote. Good timing anayway
 
Kwahiyo magufuli hataki mtu mwingine agombee uraisi?
 
G Sam,
Amlaumu Kikwete kubadili katiba ya CCM na kuunda baraza la wazee kisha kuwafanya wenyeviti wastaafu na makamu wastaafu pia wastaafu Marais Zanzibar kutokuhudhuria tena vikao vya kamati kuu. Jakaya asingefanya hivyo.

Basi wastaafu wangemtetea Membe siku ya kikao cha kamati kuu. What goes around comes around. Ila Urais anaweza kugombea hata akiwa ACT.
 
Watu wabaya sana, wamemponza mzee wa watu.

Angekuwa anaenjoi pensheni yake bila presha, sasa ana kazi kubwa ya kurejesha heshima yake. Watu waone hivi hivi tu.

Membe kajiponza mwenyewe.

Harakati zake zote watu walikuwa wanamwangalia tu mpaka aliponasa mwenyewe.

Tanzania imebadilika sana si ile tuloizoea.

Kuna watu walitumwa humu na zile kampeni za "2020 Twende na Membe".

Nadhani watakuwa wamerudi kwenye meza ya mipango kuulizia malipo na kumaliza kampeni zao.

Niliwahi kusema huko nyuma Bernard Membe hawezi kuwa rais wa nchi hii na ni rekodi yake ya nyuma ndo inayomzuia.
 
Sasa mbona wamemkata?

CCM wamejenga taswira kama wanamuogopa kwa kumkata uanachama, hata kama hawamuogopi.

Akisema kwamba nimefukuzwa uanachama kwa sababu hawataki nim challenge Magufuli, that is a plausible narrative.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo kafukuzwa kwa sababu he didn’t toe the party line.

CCM as an organization has its authority, principles, policies, and traditions.

Ni wazi kuwa alikuwa anaenda kinyume na hayo.

Kapewa nafasi ya kujieleza na pengine kuomba radhi, hakufanya hivyo.

Kafukuzwa.

Kama anaona anaogopwa kuwa atagombea urais, aanzishe chama chake halafu agombee au akajiunge na chama kingine ili agombee halafu tuone.

Lakini hizi habari za sijui anaogopwa, ana nini cha kuwafanya watu wamwogope?

Kujipa tu umuhimu asionao.

Kichwani mwake yawezekana kweli akawa kajiaminisha kuwa anaogopwa. He could be that delusional. But in actuality, nah.

I don’t think anyone is afraid of him.
 
Ni wachache Sana hasa Africa na duniani pia, awepo madarakani, (na tena zaidi awe na known legal optional chance of a second term) na kwa mamlaka ya madaraka aliyo nayo aruhusu mtu ajipitishe wakati ni threat to the post of the highest level of human achievement to a particular society,. Ujue figisu pamoja na jina lake baya (perception) ni shughuli yenye ofisi smart kabisa na huonekana matendo yake ni sahihi kwa wenye ofisi yao ya figisu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ujinga upo Africa tu nchi za watu hawana ushwaini huu sema inatokeaga rais anatetea nafasi yake na anashinda kihalali bila figisu huku Africa ndo tunaona Kama vile umafia umetumika wakati siyo.
 
Back
Top Bottom