LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Ni kwa mujibu Wa wewe mkuu
Hata dikiteta uchwara naye aende hukohuko jina lake halitakatwa, membe anagombea kupitia ccm full stopHalafu kama ana hamu sana ya kugombea urais si aende tu huko kwingine akagombee.
Huko jina lake hawatolikata.
Hiyo Ni kwa mujibu Wa wewe mkuu
Adui wa taifa ni dikiteta uchwara na malyamungu yule tapeli wa haki za kuishi.
Membe hajamtikisa rais, Bali kamtikisa mwenyekiti Wa ccm taifa'...Unaweza ukamtikisa Waziri Mkuu na bado Nchi ikabaki salama ,... huwezi kumtikisa Rais ukasema Nchi itabaki salama ..'JK Nyerere kwny Kitabu chake cha Uongozi na Hatma ya Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti akifukuzwa CCM itapasuka, wapi! Sasa ndo ataelewa kwamba hana watu nyuma yake.Yeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.
Anaogopwa kwa lipi hasa?
Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Nyerere ni binadamu sio malaika so sio kila alichozungumza ndivyo kilivyo marekani taifa kubwa dunia marais kadhaa wakiwa madarakani walichinjwa kama kuku na nchi ilisonga sembuse huyu dikiteta uchwara kutikiswa?'...Unaweza ukamtikisa Waziri Mkuu na bado Nchi ikabaki salama ,... huwezi kumtikisa Rais ukasema Nchi itabaki salama ..'JK Nyerere kwny Kitabu chake cha Uongozi na Hatma ya Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni porojo kama porojo nyingine tu. Fomu zenyewe ni hao hao CCM wanatoa. Wakikataa kumpa atachapisha ya kwake? Wakati wa kurudisha wakikataa kupokea atawalazimisha? Huu ujinga watadanganya nyumbu wanaojiliwaza wanaposikia jina la Membe na siyo watu wenye akili.Ni kichaa anayeweza kulazimisha kugombea wakati CCM ndiyo inayokupitisha! CCM ikikataa atagombeaje?
Hata dikiteta uchwara naye aende hukohuko jina lake halitakatwa, membe anagombea kupitia ccm full stop
Yeye alisema kuwa amewapa ushauri na wauzingatieKiki tu hizo! Alipohojiwa na waandishi habari mbona hakusema hayo yoye? Au ni dhalau kwa waandishi wetu?
Amefukuzwa ndo anapayuka yote hayo?
Huyu jamaa inaonekana kama amechanganyikiwa hivi. Kelele anazopiga sasa hivi kisaikolojia zinaashiria kukata tamaa.Eti akifukuzwa CCM itapasuka, wapi! Sasa ndo ataelewa kwamba hana watu nyuma yake.
Anataka kuokoa Hali ya nchi au anataka kuokoa/ kutetea maslahi yake? Acha kutusemea Watanzania. Tunajenga uchumu imara.Zitto alikuwa anatumika kuisambaratisha Chadema na ndiyo maana lile kundi lake lote na wenyewe wamemsaliti wapo CCM. Yani Zitto aliwekwa mtu kati akiamini ana wafuasi kumbe na wenyewe ni mamluki part B. Huyu Membe anataka kuokoa hali ya nchi na wapo watu serious nyuma yake.
Atakaeisajili ni nani wakt muuaji katia kwapani nyanja zote?Sasa itakuwaje? Atagombea kupitia chama kipi? ccm B inazaliwa karibuni kuna mtu atajikuta amebaki na bashite hapa gondwe kigwangalla jokate ummy na mazagazaga
Mgombea binafsi dogo. Uoga wa niniNi kichaa anayeweza kulazimisha kugombea wakati CCM ndiyo inayokupitisha! CCM ikikataa atagombeaje?