Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Ukwaju,
Hapo Membe ndo wa kuamua, lakini wakiona anataka urais na nje ya CCM pia kesi ya uhujumu uchumi inamuhusu, wote wezi has a viongozi.ukitaka kuumbuliwa uwe nje ya CCM.

Muulize Mr.zero sumaye Na fisadi Mkuu Lowassa, mashamba yalikuwa yananyang'anywa kila siku.
 
Kiki tu hizo! Alipohojiwa na waandishi habari mbona hakusema hayo yote? Au ni dharau kwa waandishi wetu?

Amefukuzwa ndo anapayuka yote hayo?
 
'...Unaweza ukamtikisa Waziri Mkuu na bado Nchi ikabaki salama ,... huwezi kumtikisa Rais ukasema Nchi itabaki salama ..'JK Nyerere kwny Kitabu chake cha Uongozi na Hatma ya Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyerere ni binadamu sio malaika so sio kila alichozungumza ndivyo kilivyo marekani taifa kubwa dunia marais kadhaa wakiwa madarakani walichinjwa kama kuku na nchi ilisonga sembuse huyu dikiteta uchwara kutikiswa?
 
Ni kichaa anayeweza kulazimisha kugombea wakati CCM ndiyo inayokupitisha! CCM ikikataa atagombeaje?
Hizi ni porojo kama porojo nyingine tu. Fomu zenyewe ni hao hao CCM wanatoa. Wakikataa kumpa atachapisha ya kwake? Wakati wa kurudisha wakikataa kupokea atawalazimisha? Huu ujinga watadanganya nyumbu wanaojiliwaza wanaposikia jina la Membe na siyo watu wenye akili.
 
Ni wachache Sana hasa Africa na duniani pia, awepo madarakani, (na tena zaidi awe na known legal optional chance of a second term) na kwa mamlaka ya madaraka aliyo nayo aruhusu mtu ajipitishe wakati ni threat to the post of the highest level of human achievement to a particular society.

Ujue figisu pamoja na jina lake baya (perception) ni shughuli yenye ofisi smart kabisa na huonekana matendo yake ni sahihi kwa wenye ofisi yao ya figisu.
Hata dikiteta uchwara naye aende hukohuko jina lake halitakatwa, membe anagombea kupitia ccm full stop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiki tu hizo! Alipohojiwa na waandishi habari mbona hakusema hayo yoye? Au ni dhalau kwa waandishi wetu?

Amefukuzwa ndo anapayuka yote hayo?
Yeye alisema kuwa amewapa ushauri na wauzingatie
 
Zitto alikuwa anatumika kuisambaratisha Chadema na ndiyo maana lile kundi lake lote na wenyewe wamemsaliti wapo CCM. Yani Zitto aliwekwa mtu kati akiamini ana wafuasi kumbe na wenyewe ni mamluki part B. Huyu Membe anataka kuokoa hali ya nchi na wapo watu serious nyuma yake.
Anataka kuokoa Hali ya nchi au anataka kuokoa/ kutetea maslahi yake? Acha kutusemea Watanzania. Tunajenga uchumu imara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom