mi bana kura yangu uraisi ni kwa Tundu Lissu ubunge Godbless Lema udiwani kwa yeyote nitakae letewa kumchagua,huo ukoo wa panya nyinyiem hautuhusu maana sisi sio akili maiti au misukule au mataahira
Chadema wasimtumie Tundu Lisu 2020,wamuache kwa ajili ya 2025,akishindwa sasa hivi ni hasara kubwa sana kwa mtaji wa 2025,ila akiandaliwa sasa hivi ni bora zaidi kwa ajili ya 2025,hii imesemwa sana.
Tundu Lissu ni sahihi ila sio 2020. Sitamani kumuona Tundu Lissu akishindwa asubuhi tu. Kwa njia yoyote Magufuli hawezi kushindwa uchaguzi huu hata kama hatopigiwa kura
Ktk demokrasia hakuna neno lazima awe yy isipokua Ni maamuz ya vikao Kwa mujibu wa katiba ya chama husika watia nia cdm wapo weng ukisema lazima awe yey lisu huwatendei haki wale wengine tusubir maamuz ya vikao halal vya chama.
Weka heshima usimwite kiwete,
Huyu kazaliwa Mzima, bali wasiopenda haki wamemtia kilema.
Huyu hatoitwa Kiwete.
Ni mtu aliyetiwa Ulemavu tuu usio wa asili