Membe ulisema ‘’NIGUSE NINUKE’’, Kwa sasa tunasubiri hiyo harufu uliyoahidi!

Kwanza na-declare interest, mimi namsapoti Membe kwenye urais kwa 93%. Membe alimaanisha kibajaji hutumika kama mbeba kinye... hivyo akimgusa atamchachua na kumnukisha! sasa alimpa go ahead kwamba hatishwi nae amchafue tuu hawezi mwogopa kilaza yule!!

Tusipende watu waanguke ingali hawajaikosea nchi hii lolote!! Lowasa,Membe,Sumaye nk hawajaikosea nchi labda walitofautiana na kikundi flani chawatu sio lazima wooote tuwe na mrengo mmoja hata kwenye familia hutokea watu kutofautiana.

Membe ni lipapa kwenye siasa tunataka atulie afanye maamuzi sahihi sio kusukumwa-sukumwa na viluilui wa siasa wanaodandia wasiyoyajua na kujitia wanajua yooote.
 
Mkuu;
Maoni yako yamejichanganya sana kama atasoma mtu ambaye anajua kuchanganua!
 
Nasikia ACT wazalendo ni Membe, aliibuni yeye kudhoofisha chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…