The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
. Magufuli anazo? Rais hadi rambirambi anaiba?Mie ni jobless sawa lkn ukweli utabaki pale pale hana sifa ya kuwa Rais. Na ujobless wangu sihitaji kumtetemekea mtu. Nakula navaa napata huduma ya afya na hata elimu pia. Namshukuru Mungu kwa hilo. Silambi mtu miguu.
Naskia katibu mkuu yupo tayari kumsamehe arudi chamani
. Magufuli anazo? Rais hadi rambirambi anaiba?
Hana sifa bana. He is total failure and looserHayo hayanihusu katika mada yangu sijataja Magufuli. Kama unamachungu nae kamuulize mwenyewe.
Hana sifa bana. He is total failure and looser
ICU ni Kwa wagonjwa mahututi wanaohitaji uangalizi wa karibu. Ila haina maana kuwa kila mgonjwa aliye ICU atakufa, wengine wanatoka wakiwa wameimarika vizuri na kuendelea kufanya kazi zao.Mangula yu buheri wa afya. ICU maana yake ni sehemu yenye uangalizi maalum na anaweza kupelekwa mtu yeyote, ingawa wabongo wengi tunadhani ICU ni kwa wagonjwa waliokua mahututi
Kwani kuna ubaya gani hela ya ramborambi kujenga hospitali. Magufuli anazo? Rais hadi rambirambi anaiba?
Wewe kijana wewe, achana na habari za huku. Otherwise utoke kwenye box huko uje tulimie wote meno ndo upate uhalali wa kupiga kelele zako.. Magufuli anazo? Rais hadi rambirambi anaiba?
Aiseee chalii yangu una undugu na huyu.Wewe kijana wewe, achana na habari za huku. Otherwise utoke kwenye box huko uje tulimie wote meno ndo upate uhalali wa kupiga kelele zako.
So kama hana sifa iweje? Watu wengine kwa kujadili mambo nje ya mada ndo maana tunafeli mambo mengi. Kama mnataka tumjadili yeye leta mada juu yake. Si kujadili nje ya madaHana sifa bana. He is total failure and looser
Aliiba ama hakuiba rambirambi? Tuanze hapo!So kama hana sifa iweje? Watu wengine kwa kujadili mambo nje ya mada ndo maana tunafeli mambo mengi. Kama mnataka tumjadili yeye leta mada juu yake. Si kujadili nje ya mada
. Magufuli anazo? Rais hadi rambirambi anaiba?
Kwaiyo unajustify magu, fool kuiba rambirambi?!!Jiulize weye hujawahi iba toka utoto wako au kudokoa au kudanganya. Mgaagaa na upwa ali wali mkavu
Kwaiyo unajustify magu, fool kuiba rambirambi?!!
Nilipo kuwa shule nilipenda misemo, nahau na methali hiziKwaiyo unajustify magu, fool kuiba rambirambi?!!
Kwaiyo unajustify magu, fool kuiba rambirambi?!!
Nilipo kuwa shule nilipenda misemo, nahau na methali hiziKwaiyo unajustify magu, fool kuiba rambirambi?!!
Ninyi ndiyo mnaochewesha ukombozi wa nchi hii.It's true ameguswa, na alikuwa anuke, au akinukishe, lakini tumeisha mshauri
Membe, Japo Umeonewa, Usifanye Kosa la Lowassa!, Ila CCM ya Ajabu!, Uamuzi based on Illegal Evidence ni Void Ab Initial!.
P
Natamani nirudi shule nifundishwe kujadili mada na kutoka nje ya mada.Aliiba ama hakuiba rambirambi? Tuanze hapo!
Bwana mdogo acha porojo jamvini. Je aliiba ama hakuiba rambirambi??Natamani nirudi shule nifundishwe kujadili mada na kutoka nje ya mada.
Bwana mdogo acha porojo jamvini. Je aliiba ama hakuiba rambirambi??
Jikite kwenye mada mada wewe mkaldayo acha porojo jamvini fanya kaziHapo mwanzo kulikuwepo na zimwi kubwa. Siku moja lilimeza watu katika kijiji kizima. Alibakia kijana mmoja tu alie kuwa mbali ya kijiji alikofanyishwa kazi za kuchunga mifugo na kulisha mifugo. Siku hiyo alijitokeza mbele ya hili zimwi kubwa...... Itaendelea!