johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.
Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!