Membe: Viongozi wa Afrika hawaoni shida kusema wameshinda kwa 100%

Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.

Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani yy alikuwa kiongozi wa wapi au ndio wagawanye ili uwa tawale...
 
Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.

Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.

Maendeleo hayana vyama!
Ndo maana magu anaogopa tume huru kuliko anavyoogopa corona na ukimwi
 
Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.

Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.

Maendeleo hayana vyama!

Hivi huyu ana umaarufu wa nini hasa katika historia ya inchi hii? amekuwa na vyeo vya ubwana mdogo tu, uwaziri kafanya kazi na Kikwete tu na waliotumikia awamu mbili au tatu tusemeje?, angekuwa amewai kuwa mkuu wa TIS mngeongeaje? Jamani tuache kusifia mijusi, vyura na mende nchi hii tunawaaibisha malegends wenye impacts za maana. Kubweka kwenyewe anajifunza awamu hii tu
 
Hakuna mtu anayeweza kupigiwa kura na akapata asilimia 100.
Hata wakipiga familia unayoishi nayo nyumba moja huwezi pata asilimia hiyo.
Labda hii ndio imetokea kwa mara ya Kwanza
Jana nimecheka sana, mjumbe mmoja wa mkutano mkuu akitegemea hayo kutokea alipiga kura ya hapana kisha akaipiga picha karatasi yake na kunitumia huku akiniambia hata kama wote watapiga kura ya ndio lakini ngoja tuone yangu itaheshimiwa?
Akanitumia WhatsApp pale pale kabla ya matokeo kutangazwa. Yalipotangazwa ni 100%.
AIBU SANA.
Kwani wangesema kura moja imekataa ingeharibu nini? Sasa jee ni ngapi zimekataa na zimefichwa?
Chama changu kitaacha lini uongo na unafiki? Hivi kweli kwa dunia ya Leo ukumbi ule ni wa kuungwa mkono na wajumbe wote katika kura za siri?
 
Membe ni mnafiki km ccm wenzake, kasalitiwa na mbwa (ccm) wenzake ndo amekumbuka kuwa walichokuwa wanakifanya sio ubinaadam, shame on him anatapatapa km kuku aliekatwa kichwa, ni swala la muda tu watanzania washaanza kuamka wote mtajutia kwa huu upuuzi mnatufanyia. Hata chadema please mkimpokea msimuamini membe kwny position kubwa kama uraisi hana lolote shetani mkubwa hata ubunge hafai labda kidogo udiwani unaweza kumfaa. Nyumbu mkubwa eti "niguse ninuke" NUKA sasa vilaza wenzako (ccm) wamekugusa au ulimaanisha mpk uguswe nanihii ndo unuke!!
 
Membe! Damu za watu zinakutafuna. Ulifanya kwa siri udhani Mungu haoni?
 
Jana nimecheka sana, mjumbe mmoja wa mkutano mkuu akitegemea hayo kutokea alipiga kura ya hapana kisha akaipiga picha karatasi yake na kunitumia huku akiniambia hata kama wote watapiga kura ya ndio lakini ngoja tuone yangu itaheshimiwa?
Akanitumia WhatsApp pale pale kabla ya matokeo kutangazwa. Yalipotangazwa ni 100%.
AIBU SANA.
Kwani wangesema kura moja imekataa ingeharibu nini? Sasa jee ni ngapi zimekataa na zimefichwa?
Chama changu kitaacha lini uongo na unafiki? Hivi kweli kwa dunia ya Leo ukumbi ule ni wa kuungwa mkono na wajumbe wote katika kura za siri?
Wacha urongo,iwekange hapa tuione.
 
Hakuna mtu anayeweza kupigiwa kura na akapata asilimia 100.
Hata wakipiga familia unayoishi nayo nyumba moja huwezi pata asilimia hiyo.
Labda hii ndio imetokea kwa mara ya Kwanza

Afu mwenyewe kajiona mjanjaaaa.
 
Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.

Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.

Maendeleo hayana vyama!

Membe ni masalia ya viongozi wa CCM YA ZAMANI ambayo ilioza kwa UJANJAUJANJA...
Ambayo ilioza kwa KUWAFUMBIA MACHO WAPIGAJI WAITAFUNAYO HII NCHI.....
Chini ya siasa mfu za kina MEMBE ndiko kulikotufanya tupewe MISAADA YA VYANDARUA(ITN) kutoka marekani......imagine VYANDARUA.....
Imagine Tena na Tena....VYANDARUA....

Km nchi tukavipokea vile VYANDARUA kwa kuimba mapambio na kupiga vinubi kushukuru WAHISANI WETU......

Nchi imepata MWANA anayetanguliza UTU WA MTANZANIA NA MWAFRIKA.

Magufuli is a zealout,charismatic,prosper,generous,tranquil,visionary and a really son of Tanzania that TANZANIANS are proud to have.

God bless him awesomely,aaamen.
 
Membe ni mnafiki km ccm wenzake, kasalitiwa na mbwa (ccm) wenzake ndo amekumbuka kuwa walichokuwa wanakifanya sio ubinaadam, shame on him anatapatapa km kuku aliekatwa kichwa, ni swala la muda tu watanzania washaanza kuamka wote mtajutia kwa huu upuuzi mnatufanyia. Hata chadema please mkimpokea msimuamini membe kwny position kubwa kama uraisi hana lolote shetani mkubwa hata ubunge hafai labda kidogo udiwani unaweza kumfaa. Nyumbu mkubwa eti "niguse ninuke" NUKA sasa vilaza wenzako (ccm) wamekugusa au ulimaanisha mpk uguswe nanihii ndo unuke!!
Umempa za uso na ndio ukweli, kwann wakati yuko kundini hakuyaona hayo yote, hataivo lazma aende ACT kwa chama chake alichokianzisha ili kuvuruga chadema kwenye uchaguzi mkuu.
 
Membe ni masalia ya viongozi wa CCM YA ZAMANI ambayo ilioza kwa UJANJAUJANJA...
Ambayo ilioza kwa KUWAFUMBIA MACHO WAPIGAJI WAITAFUNAYO HII NCHI.....
Chini ya siasa mfu za kina MEMBE ndiko kulikotufanya tupewe MISAADA YA VYANDARUA(ITN) kutoka marekani......imagine VYANDARUA.....
Imagine Tena na Tena....VYANDARUA....

Km nchi tukavipokea vile VYANDARUA kwa kuimba mapambio na kupiga vinubi kushukuru WAHISANI WETU......

Nchi imepata MWANA anayetanguliza UTU WA MTANZANIA NA MWAFRIKA.

Magufuli is a zealout,charismatic,prosper,generous,tranquil,visionary and a really son of Tanzania that TANZANIANS are proud to have.

God bless him awesomely,aaamen.

Weka No. Zako za simu manafasi ni mengi sana.
 
Na madikteta ndio hupata ushindi wa asilimia 100!!

Tweet yake inasomeka hivi:

Afrika viongozi hawaoni shida au aibu kusema wameshinda kwa 100%, kilicho nyuma ya 100% ni Ubabe au ushetani wao, Tume mbovu za uchaguzi, ukosefu wa Uhuru wa vyombo vya habari, nguvu ya vyombo vya dola-Bernard Membe on twitter.

Ahame aende pasipo afrika ili apate challenge anayotaka,
Najua atasema mengi ila muda ndo umeisha hivyo.
Zaiidibya hapo ataanza kutoa matusi na mamobya hovyo kisha ataigia jela.
 
Membe ameshiriki pakubwa kwenye matokeo ya mifumo hii ya kifashisti na kinyonyaji. He has no moral authority kulikemea hili sasa baada ya kutoswa kutoka kundini. Huyu ni mpuuzi mwingine tu na ni liability kubwa. Before 2025 atakuwa kesharudi kuwalamba miguu na kuomba msamaha. It is just a matter of time
 
Yeye alikuwa anashinda kwa asilimia ngapi enzi za wizi wake!

Membe alikuwa mwizi wa kura kama wanaccm wengine, na hata ikitokea muujiza akawa rais popote au kwa njia yoyote, ataendelea kuwa mwizi wa kura. Anachokifanya sasa hivi ni kuzungumza ukweli hadharani ambao hakuwahi kuusema akiwa ccm maana alikuwa mfaidika wa wizi huo.

Nilisema hakuna uwezekano wa mtu yoyote kupata kura 100%, ukifuatilia ukweli utakuta hajapata kura hizo. Na kama kweli amepata 100%, basi huyo atakuwa anaoongoza makondoo, na sio binadamu wenye akili timamu.
 
Weka No. Zako za simu manafasi ni mengi sana.
We buanaaa😂😂 yaani mtu akipunch upper cuts mnasema tunataka "hayo" usemayo looh hapana mpwa mi nasemaga tu ukwel kwa mapenz yangu juu ya CCM,nimeishia standado sovuni nauza Al Kasus huku majohe
 
Back
Top Bottom