Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Ni pandikizi la ccm Hilo, baada ya uchaguzi litarudi ccm Kama sumaye na Lowasa,hizi ni triki zao za ccm kila uchaguzi ukikaribia kuwahadaa wapinzani.Ninaona wazi kwenda upinzani amaenda kuteseka bure, labda anakuja kwa makisudi maalum
Uzuri wapinzani wameshtuka awatomeza chambo tena