Think outside the box 'kumbe tume huru huanzia kwenye vikundi vyetu'Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.
Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Huo ni uchaguzi mkuu jombaaaaa,SI ktka chaguz za ndani anazorefer huyo buanaEnzi za kikwete 2005_80%. Mwaka 2010_61%
Membe ni mkweli
😂😂😂Kama kuna mjumbe aliyepiga kura ya Sio aende twitter kushtaki ha ha ha ha
Hebu iweke hapa kiongozi, tuthibitishe usanii waoJana nimecheka sana, mjumbe mmoja wa mkutano mkuu akitegemea hayo kutokea alipiga kura ya hapana kisha akaipiga picha karatasi yake na kunitumia huku akiniambia hata kama wote watapiga kura ya ndio lakini ngoja tuone yangu itaheshimiwa?
Akanitumia WhatsApp pale pale kabla ya matokeo kutangazwa. Yalipotangazwa ni 100%.
AIBU SANA.
Kwani wangesema kura moja imekataa ingeharibu nini? Sasa jee ni ngapi zimekataa na zimefichwa?
Chama changu kitaacha lini uongo na unafiki? Hivi kweli kwa dunia ya Leo ukumbi ule ni wa kuungwa mkono na wajumbe wote katika kura za siri?
Tukubaliane na wewe lakini kwa kuwa umechana na Ushetani tueleze nyuma ya bazia huwa mlikuwa mnafanyaje ili angalau tuondoe hilo pazia kwa kuwa kwa sasa umejiunga na sisiMzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.
Mkuu nawewe unakuwa Kama mbumbu hizo % unazotoa ni za uchaguzi mkuu sio uchaguzi wa ndani ya chama, hata jk uchaguzi wa ndani ya chama alipa 100%.Enzi za kikwete 2005_80%. Mwaka 2010_61%
Membe ni mkweli
Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.
Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Kikwete alipata 99% kura 2 zilimkataa!Mkuu nawewe unakuwa Kama mbumbu hizo % unazotoa ni za uchaguzi mkuu sio uchaguzi wa ndani ya chama, hata jk uchaguzi wa ndani ya chama alipa 100%.
Hizo nazo cheche ama kutapatapa.....Membe mbona anatema cheche sana
Kumbukumbu sahihi.Kikwete alipata 99% kura 2 zilimkataa!
Kuna chaguzi au kuna maigizo!Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.
Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Muongo Kama tumba mbichi....Jana nimecheka sana, mjumbe mmoja wa mkutano mkuu akitegemea hayo kutokea alipiga kura ya hapana kisha akaipiga picha karatasi yake na kunitumia huku akiniambia hata kama wote watapiga kura ya ndio lakini ngoja tuone yangu itaheshimiwa?
Akanitumia WhatsApp pale pale kabla ya matokeo kutangazwa. Yalipotangazwa ni 100%.
AIBU SANA.
Kwani wangesema kura moja imekataa ingeharibu nini? Sasa jee ni ngapi zimekataa na zimefichwa?
Chama changu kitaacha lini uongo na unafiki? Hivi kweli kwa dunia ya Leo ukumbi ule ni wa kuungwa mkono na wajumbe wote katika kura za siri?
Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.
Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Wakiwa madarakani huwa vipofu,Yeye alikuwa anashinda kwa asilimia ngapi enzi za wizi wake!
Arudi aombe msamaha kwa mungu wao awe huru ale pension zakeNinaanza kupata shida na uwezo wa kisiasa wa Membe.
Hii tabia ya kuongea ongea sio njema
Ninaona wazi kwenda upinzani amaenda kuteseka bure, labda anakuja kwa makisudi maalumArudi aombe msamaha kwa mungu wao awe huru ale pension zake
Jasusi mbobezi katupwa na kijiti chake. Membe for president via opposition...Na madikteta ndio hupata ushindi wa asilimia 100!!
Tweet yake inasomeka hivi:
Afrika viongozi hawaoni shida au aibu kusema wameshinda kwa 100%, kilicho nyuma ya 100% ni Ubabe au ushetani wao, Tume mbovu za uchaguzi, ukosefu wa Uhuru wa vyombo vya habari, nguvu ya vyombo vya dola-Bernard Membe on twitter.