johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Atafeli saa 4 asubuhi!Membe ndo mgombea uraisi kupitia naniniii, ni swala la muda tu
Ilishaisha hiyo.Atafeli saa 4 asubuhi!
Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.
Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Ulichoandika, kina uhusiano gani maudhui na thread hii?Membe ndo mgombea uraisi kupitia naniniii, ni swala la muda tu
Mbowe huwa napata ushindi wa asilimia ngapi kwenye chaguzi za uenyekiti [emoji16][emoji16]Na madikteta ndio hupata ushindi wa asilimia 100!!
Vijakazi wa jiwe, mkisikia Membe katema cheche mnaanza kuharisha!Huyu jamaa huwa namwona hovyo sana.
100%. Na mgombea urais anayemtaka yeye huwa zinapigwa kura za ndiyooooooMbowe huwa napata ushindi wa asilimia ngapi kwenye chaguzi za uenyekiti [emoji16][emoji16]
Enzi za kikwete 2005_80%. Mwaka 2010_61%Yeye alikuwa anashinda kwa asilimia ngapi enzi za wizi wake!
Hahaha kuna wakati shetani husema ukweli...ongezeni sautiYeye alikuwa anashinda kwa asilimia ngapi enzi za wizi wake!