Kwani yy alikuwa kiongozi wa wapi au ndio wagawanye ili uwa tawale...Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.
Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Ndo maana magu anaogopa tume huru kuliko anavyoogopa corona na ukimwiMzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.
Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.
Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Jana nimecheka sana, mjumbe mmoja wa mkutano mkuu akitegemea hayo kutokea alipiga kura ya hapana kisha akaipiga picha karatasi yake na kunitumia huku akiniambia hata kama wote watapiga kura ya ndio lakini ngoja tuone yangu itaheshimiwa?Hakuna mtu anayeweza kupigiwa kura na akapata asilimia 100.
Hata wakipiga familia unayoishi nayo nyumba moja huwezi pata asilimia hiyo.
Labda hii ndio imetokea kwa mara ya Kwanza
Mkiwa naye siyo huko kwa wazoefu wa kubeba masanduku ya kuraYeye alikuwa anashinda kwa asilimia ngapi enzi za wizi wake!
Wacha urongo,iwekange hapa tuione.Jana nimecheka sana, mjumbe mmoja wa mkutano mkuu akitegemea hayo kutokea alipiga kura ya hapana kisha akaipiga picha karatasi yake na kunitumia huku akiniambia hata kama wote watapiga kura ya ndio lakini ngoja tuone yangu itaheshimiwa?
Akanitumia WhatsApp pale pale kabla ya matokeo kutangazwa. Yalipotangazwa ni 100%.
AIBU SANA.
Kwani wangesema kura moja imekataa ingeharibu nini? Sasa jee ni ngapi zimekataa na zimefichwa?
Chama changu kitaacha lini uongo na unafiki? Hivi kweli kwa dunia ya Leo ukumbi ule ni wa kuungwa mkono na wajumbe wote katika kura za siri?
Hajakuwa mtakatifu awape uzoefu watu wanaibaje!Mkiwa naye siyo huko kwa wazoefu wa kubeba masanduku ya kura
Weka hiyo uliyotumiwa tuione vinginevyo na wewe ni mwongoWacha urongo,iwekange hapa tuione.
Hakuna mtu anayeweza kupigiwa kura na akapata asilimia 100.
Hata wakipiga familia unayoishi nayo nyumba moja huwezi pata asilimia hiyo.
Labda hii ndio imetokea kwa mara ya Kwanza
Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.
Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
πππππMbowe huwa napata ushindi wa asilimia ngapi kwenye chaguzi za uenyekiti [emoji16][emoji16]
Umempa za uso na ndio ukweli, kwann wakati yuko kundini hakuyaona hayo yote, hataivo lazma aende ACT kwa chama chake alichokianzisha ili kuvuruga chadema kwenye uchaguzi mkuu.Membe ni mnafiki km ccm wenzake, kasalitiwa na mbwa (ccm) wenzake ndo amekumbuka kuwa walichokuwa wanakifanya sio ubinaadam, shame on him anatapatapa km kuku aliekatwa kichwa, ni swala la muda tu watanzania washaanza kuamka wote mtajutia kwa huu upuuzi mnatufanyia. Hata chadema please mkimpokea msimuamini membe kwny position kubwa kama uraisi hana lolote shetani mkubwa hata ubunge hafai labda kidogo udiwani unaweza kumfaa. Nyumbu mkubwa eti "niguse ninuke" NUKA sasa vilaza wenzako (ccm) wamekugusa au ulimaanisha mpk uguswe nanihii ndo unuke!!
Membe ni masalia ya viongozi wa CCM YA ZAMANI ambayo ilioza kwa UJANJAUJANJA...
Ambayo ilioza kwa KUWAFUMBIA MACHO WAPIGAJI WAITAFUNAYO HII NCHI.....
Chini ya siasa mfu za kina MEMBE ndiko kulikotufanya tupewe MISAADA YA VYANDARUA(ITN) kutoka marekani......imagine VYANDARUA.....
Imagine Tena na Tena....VYANDARUA....
Km nchi tukavipokea vile VYANDARUA kwa kuimba mapambio na kupiga vinubi kushukuru WAHISANI WETU......
Nchi imepata MWANA anayetanguliza UTU WA MTANZANIA NA MWAFRIKA.
Magufuli is a zealout,charismatic,prosper,generous,tranquil,visionary and a really son of Tanzania that TANZANIANS are proud to have.
God bless him awesomely,aaamen.
Na madikteta ndio hupata ushindi wa asilimia 100!!
Tweet yake inasomeka hivi:
Afrika viongozi hawaoni shida au aibu kusema wameshinda kwa 100%, kilicho nyuma ya 100% ni Ubabe au ushetani wao, Tume mbovu za uchaguzi, ukosefu wa Uhuru wa vyombo vya habari, nguvu ya vyombo vya dola-Bernard Membe on twitter.
Yeye alikuwa anashinda kwa asilimia ngapi enzi za wizi wake!
We buanaaaππ yaani mtu akipunch upper cuts mnasema tunataka "hayo" usemayo looh hapana mpwa mi nasemaga tu ukwel kwa mapenz yangu juu ya CCM,nimeishia standado sovuni nauza Al Kasus huku majoheWeka No. Zako za simu manafasi ni mengi sana.