Membe: Viongozi wa Afrika hawaoni shida kusema wameshinda kwa 100%

Kama kuna mjumbe aliyepiga kura ya Sio aende twitter kushtaki ha ha ha ha
 
Think outside the box 'kumbe tume huru huanzia kwenye vikundi vyetu'
 
Hebu iweke hapa kiongozi, tuthibitishe usanii wao
 
Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani.
Tukubaliane na wewe lakini kwa kuwa umechana na Ushetani tueleze nyuma ya bazia huwa mlikuwa mnafanyaje ili angalau tuondoe hilo pazia kwa kuwa kwa sasa umejiunga na sisi
 

Hata Saddam, Amin, Bokassa, Nkurunziza na wa namna hiyo walikuwa wanashinda hivyo hivyo.

EA sasa tunao 2.

Membe umenena.

Maendeleo hayana chama!
 
Kuna chaguzi au kuna maigizo!
 
M Muongo Kama tumba mbichi....
 
Kukaa kimya ni busara na hekima pia hujengea mtu heshima
 
Ninaanza kupata shida na uwezo wa kisiasa wa Membe.
Hii tabia ya kuongea ongea sio njema
 
Jasusi mbobezi katupwa na kijiti chake. Membe for president via opposition...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…