Ee Mungu wetu mwenye nguvu na huruma, umefanya kifo kiwe mlango wa kupitia kwenye uzima wa milele.
Umtazame kwa huruma ndugu yetu, marehem Deo, mfanye awe pamoja na mwanao kwa mateso na kifo, ili akiwa amefunikwa na damu ya Yesu Krito, na aweze kuja mbele zako akiwa huru kutoka katika dhambi.
Naomba hayo kwa jila la mwanao Yesu Kristo..... Amen