Huyo ***** mwenzako....anajulika ni chawa wa FAM. Hatoboi hata kidogo huyo Lema aliyetaka kuuza kura za wananchi wa Arusha nani anamwamini.Hata hii ID ni ya 2022.. Hivyo bado hujakomaa.. Machawa wote wakizidiwa wanakimbilia matusi.. Hatuna muda kuwatukana.. Tunayapita matusi yenu kama hatuyaoni sababu tumeshakomaa.. Utambabaisha nani dogo? Fungulia matusi sisi tutakurudisha kwenye reli kwa lazima
Unataka kuniambia wewe ni mgeni na malaria Sugu au humjui?Nikajua una akili timamu. Kumbe hujui hata unachoandika.. Kwanza huna ubavu wa kumchafua Eryth
View attachment 3703020View attachment 3703021
Tangu lini ukapenda makristo?Siku zote nilikua najiuliza , huyu kweli mwanamageuzi? Kweli sio chawa? Kumbe nimegundua , ni chawa wa LEMA.
Msakatonge, mzee fursa. Akinishambulia mimi kuwa chawa na napinga mageuzi, kumbe yeye ni chawa fursa, chawa mchafu, chawa kizee
Wakala wa Lisu kwenye uchaguzi wa Chadema alikuwa nani?Huyo ***** mwenzako....anajulika ni chawa wa FAM. Hatoboi hata kidogo huyo Lema aliyetaka kuuza kura za wananchi wa Arusha nani anamwamini.
Hakuna kitu humu. Malaria sugu alishakufa kitambo sana.. Usibabaishwe. Jina pembe si dawa ya pengo.Unataka kuniambia wewe ni mgeni na malaria Sugu au humjui?
Hiyo ni ID mpya tu, amevaa koti jipya lakini ni wa kitambo.
Makiristo siyapendi, nawapenda wakiristoTangu lini ukapenda makristo?
Dalali LemaWakala wa Lisu kwenye uchaguzi wa Chadema alikuwa nani?
Wewe unaongea nini?, kuwa wakala kunakufanya usiwe msaliti?. Kwani Samia na Nchimbi hawakuwa wagonbea wenzao waliofanya kampeni pamoja!!. Bado wako pamoja?, unauliza maswali ya kijinga kabisa....!.Wakala wa Lisu kwenye uchaguzi wa Chadema alikuwa nani?
actually,🤓hapo unajiandaa kushusha nyavu mkuu.How are you Gentleman?
Niko poa,nipo busy kusahihisha mitihani ya watoto…si unajua tena tunafunga shule mapema sanaa 🫠actually,
i'm doing very good,
how are you over there ndugu mdau?🐒
Malaria SuguNimejiunga jf kabla ya yeye. Jamaa chawa wa LEMA, anatuuza humu
kwa id ile ingineNimejiunga jf kabla ya yeye. Jamaa chawa wa LEMA, anatuuza humu
okay,Niko poa,nipo busy kusahihisha mitihani ya watoto…si unajua tena tunafunga shule mapema sanaa 🫠
Barikiwa sanaokay,
well done & best wishes ndugu mdau wa heshima sana jf 💪
Naomba linkKuna thread yake moja nimemjibu nimemwambia nilikuwa namheshimu sana humu jamvini ila kwa thread ile aliyoanzisha, nimetokea kumvua kabisa hadhi zote.
Imeonekana asali imemwagwa nyingi sana ili kumpinga na kumwondoa Lissu ktk ile nafasi pamoja na Heche.