secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Anyway mkuu Tajiri Sinabay naomba tulale maana sitaki kukumkera huyu mtoto Kwa vyovyote vile nisije nikamkosa.secretarybird na mwenzio Tajiri Sinabay laleni mkue wadogo zangu..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anyway mkuu Tajiri Sinabay naomba tulale maana sitaki kukumkera huyu mtoto Kwa vyovyote vile nisije nikamkosa.secretarybird na mwenzio Tajiri Sinabay laleni mkue wadogo zangu..!!
Nini! Mtu mwenye hela unamwita mdogo wako!secretarybird na mwenzio Tajiri Sinabay laleni mkue wadogo zangu..!!
Duh pole kaka.Kabisa mkuu yaani Sasa hivi juu ya huyo mtoto usingizi ninaoupata haufikii hata punje ya haradali.
Lazima masharti yake niyatii, si unajua tena...Duh pole kaka.
Poa mkuu sikupingiAnyway mkuu Tajiri Sinabay naomba tulale maana sitaki kukumkera huyu mtoto Kwa vyovyote vile nisije nikamkosa.
😂😂🤣🤣🤣🤣Lazima masharti yake niyatii, si unajua tena...
👍Poa mkuu sikupingi
Kwa huku Kunisifia kwako jiandae Kuambiwa kuwa hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE.Yaani mtoto Lamomy aneshanichanganya.
Naomba waombe mods wa-idit title isomeke secretarybird, Tajiri Sinabay na GENTAMYCINE ndo watu peke wenye akili hapa JF.
Lengo ni kumfanya mtoto mkali Lamomy anikubalie Kwa kudhani kuwa nina akili kumbe hola.
Walimwengu utawaweza?Kwa huku Kunisifia kwako jiandae Kuambiwa kuwa hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE.
Wasindikize na kile Kibao kitamu cha Wivuuuuuu.......!!Walimwengu utawaweza?
Wanaona gere kama Nyegere.Wasindikize na kile Kibao kitamu cha Wivuuuuuu.......!!
Kwa sababu Gani 😃 😃 😃🫨Tunakuogopa now days tajiri wa kigambonino labda Bonge ephen_