Member mwenzetu Mpwayungu Village ni He au She au....?

Unatrend mkuu
 
Basi,kama wewe Binafsi uko sawa hakuna tatizo
Madam Joan hii ndomana halisi ya mitandao ya kijamii,, jamii ni watu wenye kila aina ya tabia. Unaweza kutoa wazo huru tu ila likaja chizi fresh from somewhere kukutukana na kuondoka

Mpaka utahamaki ukimgeuzia za uso unalambwa ban nzito na moderator, so kuepusha haya yote unalike comment yake unam.ingnore
 
Una akili mdogo wangu
 
Jamaa ni mwanaume ila matuta ndio hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…