Sawa πSikimbiii
Comred asione hiiπ
Kula maisha kufa kupo tu ππππHizi raha hazitoniua kwelππ
Mbona kama mtego huuπππ
Mapenzi utapel fala weweπ€£π€£π€£
Daah! Kaka unaona mali hiyo, haina makuu πHoney moon tutafanyia ghetton kwake.
Sina makuu mie mejii enuu, πππππ
Biblia inasema usimuache mke WA ujana wakoMke wa ujana wangu!!!
Achana nae! Hizo nguvu kachangamkie uteuzi tupige hela za Watanzania.πNitamtwanga huyo na hata kuwa na kwa kunishitaki . maana akienda polisi ataongezewa kipigo kikali cha mbwa koko pale watakapo sikia amemgusa ephen_ Wanguuu mboni yangu na waridi wa moyo Wangu
MC Lamomy sherehesha kidogo tupate kionjo cha harusi itakavyokuwa πBa tamu!! Sasa mtego gani na mie nishakabidhiwa wee nikulee.
Amini umepata mlezi sahihi na bora.
Awwwww!! πππππ
Fwala sana πππMama ameniikataza kucheza efootball na wadada π€£π€£π€£View attachment 3454961
Vijana wanataka niharibiwe uvulana wangu wakati me najitunzaπ€£π€£π€£π€£dah huu uhusiano una hatarisha undugu wetu, wewe ni jitu moja kubwa sisi bado wadogo π
Mjomba uliondoka nyumbani miaka mingi sana hivi Bado utakuwa kigoli πππHapa naona ndoa za mabwabwa na MAJIKE SHUPA yaliyozeeka na kujichokea!
Ni mwendo wa kujipigia kampeni uchwara huku vigimbi vimewasimama wima yaani dede! VIGIMBI MCHOMOKO vya fidodido!
Hivi kweli mtu kama yule ajuza aolewe na makunyanzi yote yale usoni??
Na yule mnyakyusa na wowowo lake kubwa kama furushi la magimbi kweli aolewe! Khaaaa!!!
Hebu huko, mtuache vigoli jamani na sisi tuolewe.... hamuachi mna nini! Hahahaaa chefuu.... mimama mizima kutaka kuolewa inahusu mxiiieeeewwwwh.
Cc: The Icebreaker adriz Harmful cocastic Balqior Extrovert Mbaga Jr
Ndo hapo aseeππHalafu siku aki kasirisha, atu kimbize ehhπ