Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,819
- 3,295
taarifa ya kuachana kwenu hatuna, maria tu ndo amekuwa kimya tukajua umempokonya simu atulie kwakoMkuu si tulikubaliana X Harudiwi.
Haswaaaa!! ππππNdugu yetu kapata chombo na familiya imepata shujaa πππ
ccm ukijadili wewe inatosha kiongoziIla vijana wa Tanzania Mungu anawaona! Kwenye hoja za kipumbavu kipumbavu mnavyotiririka sasa! Eti hii mada nayo sasa hivi tu iko page ya 30! Waone kwanza, badala ya kushughulika kurekebisha upuuzi wa CCM mmekalia kujadili mada zilizokuwa na kichwa wala miguu?
π π
Nipo kaka, ila nimejawa na busara kidogo siku hizi, sina vurugu kivile.Mwanetu ulikuwa chimbo gani? π
Au umepata mshangazi nini? πππ
Swadaktaaaa!!! Muambie kaka ako afunguee acc hiyo nisakate kabumbu mie.Hilo kosi linawatu wakatili wakati wa kushambulia na wakatili wakati wa kuzuia, hili kosi uhakika kabisa shemeji πππ
Hapo tunachukua ubaya ubwela tunachanganya na we huogopi πππHaswaaaa!! ππππ
dosho12 hastahili kupata couple jf, labda msikitini au kanisani
Bila shaka utakuwa unaandaa album.Nipo kaka, ila nimejawa na busara kidogo siku hizi, sina vurugu kivile.
Nalisimamia hili shemeji ondoa shaka πSwadaktaaaa!!! Muambie kaka ako afunguee acc hiyo nisakate kabumbu mie.
ππππππ
Nilileta uzi humu mkuu, tumeachana tena kwa wema kabisa.taarifa ya kuachana kwenu hatuna, maria tu ndo amekuwa kimya tukajua umempokonya simu atulie kwako
Yaah studio kwa sana na vitu kama hizo, si unajuwa tena sanaa inataka muda.Bila shaka utakuwa unaandaa album.
Kwanini mkuu?dosho12 hastahili kupata couple jf, labda msikitini au kanisani
Andaa kazi mkuu, tupo pamoja.Yaah studio kwa sana na vitu kama hizo, si unajuwa tena sanaa inataka muda.
Pamoja Pamoja kiongozi.Andaa kazi mkuu, tupo pamoja.
Unyama.Pamoja Pamoja kiongozi.
Nitawaambia muingie yutubu mkasachi Muimba SINGELI muinjoy magoma.
πUnyama.
πππUnafikiri wanapatikana tuu nacheza hili game kwa miezi sita hapo nina messi tuuππNdo ufungue acc sasa, Messi, gaucho, Xavi, iniesta, Ozil, zidane, Robben, De bruyne, hawa lazima wawepo.
Kikosi utapanga mwenyewe. πππππ