Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Mama mchungaji na mganga wapi na wapi....πŸ˜ƒ.

Siku hizi mimi ni mama mchungaji. Unataka nianze kuagua majini?πŸ˜…
Kaokoka mimi shahidi, si ujajua Mganga akiokoka anakua mtamu

Na mm natafuta Mke aliyewahi kuwa walau Mganga πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…