figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
ha ha ha naona wangekuwa karibu ungewanasa makofi.
Preta kuna wale watakaotaka kulipia mlangoni utafikiri bilicanas waaaaaaaaaache
vp ma miss zawadi zao wamepata? Mbona sijapata copy toka kwa muandaaji wa mashindano? Niliona kuna uzi unaelezea kuwa muandaaji aliugua gafla kabla ya tarehe 30.12.2012 mpaka sasa ni zaidi ya siku 10(inawezekana bado u hoi kitandani) nani kaimu wake? Nani anazingua kati ya muandaaji na member. Copy kwa watu8 charminglady Arabela na wengine.
White party.. tutume vipi michango.. I hope wa dau wa jukwaa la sports kule tunaruhusiwa kuhudhuria
Kule mtambuzi kasema garden na huku kwenye ukumbi au tunaanza garden halafu tunamalizia ukumbini?
Mu-sir ni ndugu yake wa damu nashangaa kakaa kimya. mia
tusiseme hivyo. mimi nasubili kusikia upande wa pili coz mara ya mwisho nliongea naye akanambia anaumwa na tuliagana akisema jioni ataweka updates. lakini hakufanya hivyo. mimi namlaumu Mu-sir sababu alisema anafuatilia kinacho msibu ndugu yake halafu atatuletea taarifa. namuonaona tu jf. miamzee wa figganigga mie mwanzo sikujua maana ya CC ila kwa sasa nimejua ka buku 2 kangu ka uzamini ningekanunua kiloba cha dollers tu mia
tusiseme hivyo. mimi nasubili kusikia upande wa pili coz mara ya mwisho nliongea naye akanambia anaumwa na tuliagana akisema jioni ataweka updates. lakini hakufanya hivyo. mimi namlaumu Mu-sir sababu alisema anafuatilia kinacho msibu ndugu yake halafu atatuletea taarifa. namuonaona tu jf. mia
Nitatuma tarehe 26 bado mbali kidogo
ndo maana nakukumbusha! kumbuka mwisho wa kupokea hela ni tarehe 21. cc kwa mpopowaji wetu. mia
21-01-2012 mwisho. mia
ni tarehe 21/01/2013. mia