Members, Mnaombwa Mzidishe Kasi Kutuma Michango ya WHITE PARTY.......!!!!!!!!!!

Thanks and well noted figganigga, a.k.a mia. At last you have noted the color of my postings.....thanks for that Boss.

 
Last edited by a moderator:
Huku ni Stress free,
Mambo hayo ni ya akina zomba na mwenzie Ritz ndo wana majibu yake.

Ningekuja kwenye hiyo Party hapo kwa Kabula. Lakini naona hiyo party imekaa kabaguzi nadhani na ya wafuasi wa Chadema. Mfano kauli za muandaaji.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Slave huwezi kuamini mpaka sasa nami nipo gizani. Sina updates yoyote!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ningekuja kwenye hiyo Party hapo kwa Kabula. Lakini naona hiyo party imekaa kabaguzi nadhani ni ya wafuasi wa Chadema. Mfano kauli za muandaaji.

Nilijua tuuuuuuuuuuu...............
We njoo, labda utakuja kwa ID nyingine.
 
Madame B, mie mchango wangu ntaja nao mkononi make hapa nimefanya booking Fastjet ila wameniweka kwenye researve. Sasa nisipokuja wakati nimeshachanga itakuwaje???

Copy to: Mzee Mtambuzi, Babu Asprin na dada mkubwa gfsonwin!!!!!!!!!

Acha wenge wewe wifi,
Acha kubanabana hela za kaka hizo.
We tuma kwenye M-Pesa au Tigo pesa kwa Mtambuzi, au m-PM
 
Karibu sana Ritz!

Ningekuja kwenye hiyo Party hapo kwa Kabula. Lakini naona hiyo party imekaa kabaguzi nadhani na ya wafuasi wa Chadema. Mfano kauli za muandaaji.
 
Last edited by a moderator:
mzee wa figganigga mie mwanzo sikujua maana ya CC ila kwa sasa nimejua ka buku 2 kangu ka uzamini ningekanunua kiloba cha dollers tu mia

Subirini apone Lundenga wa watu, akisha recover kidijitali atakuja
 
Last edited by a moderator:
Vipi, Mimi Ntakuepo siku hiyo, official photographer yaani, musisahau kutabasamu. Mimi na mapaaparazi wengine tutajilipia mlangoni !!!

Una undugu wowote na yule aliyeanzisha uzi wa majungu jana???
 
Vipi, Mimi Ntakuepo siku hiyo, official photographer yaani, musisahau kutabasamu. Mimi na mapaaparazi wengine tutajilipia mlangoni !!!

Naomba nikuulize swali, Una uhusiano gani kati yako wewe na Olekitura yule aliyeseme hizi Part ni za Uzinzi?
Nifahamishe, kisha tuendelee.................
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…