Members wa JF baadhi wanafiki sana, wanajifanyaga wako sayari nyingine

Members wa JF baadhi wanafiki sana, wanajifanyaga wako sayari nyingine

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Wanajifanya hawajui kinachoendelea Instagram kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote.

Ukimpa stori ya Facebook mtu wa JF anakwambia nilifunga miaka 10 iliyopita, situmii kabisa. Halafu unajiuliza, huyu mtu anajuaje kila kitu kinachotrend kwa sababu ukiangalia mijadala ya humu ndani asilimia kubwa ni mambo yaliyotoka TikTok, Instagram au Facebook.

Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko, me hayo maisha ya kinafiki ndo siyapendi.
 
Tiktok Ni Mtandao Wa Walegeza Viuno,Inafikirisha Na Kuleta Ukakasi Sana Mwanaume Kutumia Tiktok.
sijajua unamaanisha nini ...mimi zamani sikuwepo tiktok kwa sababu ilikuwa inahitaji sana uwe na simu yenye uwezo mkubwa ila nilijuaga ni sawa na instagram sana ila kwa sasa nilipo ukanda wa kusini mashariki mwa asia tiktok ina tiktok shop ambayo inachuana na shopee,alibaba n.k so huwezi kuikwepa tiktok ndo maana ina watumiaji zaidi ya billion labda huko bongo ndo inatumiwa vibaya..ma influencer wote wa ASIA wanaharakati wote wana followers wengi tiktok zaidi ya mitandao mingine yote
 
ID nyingi humu ni Wala ugimbi ,hoe hae na makapuku wa kiwango cha lami mkuu..hua nasoma maandiko Yao nacheka sana..yaan JF iwe na watu wenye akili kuliko Facebook??kwa lipi hasa?
si ile slogan yetu ya kwamba sisi ni ma greater thinker ndo inafanya baadhi ya watu wajione wao ndo matawi wao ndo watu waliopo kwenye platform ya watu wenye akili sana tanzania nzima...labda uniambie jamiiforum ya 2023 kurudi nyuma huko
 
Hata mimi nilidhani hivyo lakini Tiktok ni nzuri kwa biashara.
TikTok, Facebook, Instagram ni mitandao ya kijamii yenye hadhi ya kidunia , watumiaji wananufaika hata kwa malipo ya moja kwa moja..humu JF tunapiga soga tu na nakusubiri ban za mods na faida kubwa ni nyuzi za members.Mtando mzuri wa kutoa stress .Ila tuliowengi humu tunatumia utambulisho wetu wa kweli huko kwenye mitandao ya hadhi ya kidunia
 
si ile slogan yetu ya kwamba sisi ni ma greater thinker ndo inafanya baadhi ya watu wajione wao ndo matawi wao ndo watu waliopo kwenye platform ya watu wenye akili sana tanzania nzima...labda uniambie jamiiforum ya 2023 kurudi nyuma huko
Hakuna u great thinker wowote humu jukwaani, hili jukwaa liko kitaifa zaidi ,hivyo mara nyingi linajikuta linabeba mada nyingi za kitaifa na masuala ya nchi .Lakini limekua likitumika kupush ajenda kadhaa za kisiasa na kijamii Hali inayowafanya waleta ajenda wajione wenye akili kutokana na wingi wa wachangiaji wa ajenda hizo..Lakini huu ni moja ya mitandao ya kawaida mnoo tena bugilabugila
 
wanajifanya hawajui kinachoendelea instagram
kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote...

ukimpa stori ya Facebook mtu wa jf anakwambia nilifunga miaka 10 iliyopita.situmii kabisa
Halafu unajiuliza, huyu mtu anajuaje kila kitu kinachotrend kwa sababu ukiangalia mijadala ya humu ndani asilimia kubwa ni mambo yaliyotoka TikTok, Instagram au Facebook.

Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko...me hayo maisha ya kinafki ndo siyapendi

Kutokuwepo TikTok ni kuwa sayari nyingine??
Kwani usichoelewa hapo nini mkuu?
 
wanajifanya hawajui kinachoendelea instagram
kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote...

ukimpa stori ya Facebook mtu wa jf anakwambia nilifunga miaka 10 iliyopita.situmii kabisa
Halafu unajiuliza, huyu mtu anajuaje kila kitu kinachotrend kwa sababu ukiangalia mijadala ya humu ndani asilimia kubwa ni mambo yaliyotoka TikTok, Instagram au Facebook.

Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko...me hayo maisha ya kinafki ndo siyapendi
Jamiiforums ni nyumbani huko kwengine tumewaachia Kizazi cha sasa, usiumie Mkuu kila mtu ana uhuru wake wa kaandika chochote pasipo kuvunja kanuni, miongozo na sheria.
 
Back
Top Bottom