Kwani kila mtu ni mfanyabiashara?Tiktok, fb na hata Instagram kwa biashara na kupata watu wengi huko ni kwake. Sasa mtu ukisema watumia jf peke ake unataka umfikie nan?
Wanajifanya hawajui kinachoendelea Instagram kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote.
Ukimpa stori ya Facebook mtu wa JF anakwambia nilifunga miaka 10 iliyopita, situmii kabisa. Halafu unajiuliza, huyu mtu anajuaje kila kitu kinachotrend kwa sababu ukiangalia mijadala ya humu ndani asilimia kubwa ni mambo yaliyotoka TikTok, Instagram au Facebook.
Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko, me hayo maisha ya kinafiki ndo siyapendi.
Umeniwahi 😂Ulishika simu ya mtu anayependa hizo ishu, h mitandao inakulisha unachokitaka ww mwnyw, huwez kupenda mambo ya nyapu afu uletewe contents za injili
Kuna mtu wako wakaribu alikuwa anafuatilia hizo mambo, alogarithm yake ikawa inableed kwenye alogarithm yako.Mimi nilikua naletewa habari za wasagaji na mashoga nikawa naignore hizo pages mpaka nikachoka.
Nina miezi sijagusa Tiktok
Kupanga ni kuchagua, sio kila mtu anatumia hayo majukwaa.Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko, me hayo maisha ya kinafiki ndo siyapendi.
Sio tunajifanya wengine ndio tulivyo, kwenye simu yangu kuna Watsap na Jamii forum tu, hayo maisntagram, sijui ticktok, facebook sinaWanajifanya hawajui kinachoendelea Instagram kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote.
Ukimpa stori ya Facebook mtu wa JF anakwambia nilifunga miaka 10 iliyopita, situmii kabisa. Halafu unajiuliza, huyu mtu anajuaje kila kitu kinachotrend kwa sababu ukiangalia mijadala ya humu ndani asilimia kubwa ni mambo yaliyotoka TikTok, Instagram au Facebook.
Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko, me hayo maisha ya kinafiki ndo siyapendi.
Unazingua,Ingia uone mi nilishika simu ya mtu namheshimu Ana TIKTOK nilikaa nayo siku 3 hapana aisee
Mimi pia TikTok nimeanza kuitumia mwaka jana na sina mpango wa kuachaWengine hawajawahi kutumia hivyo hawajui uzuri wake.
Ticktock ni mtandao mzuri by far, sikuwa najua nimedelay kuanza kutumia. Nilianza kutumia mwaka jana.
Hata ukitaka discussion nzuri nenda comment section ya baadhi ya creators kutokana na mada unazotaka, Halafu ni community kubwa unakuta comment section ina comments 1000+ different opinions at-pa.
Kinachoniudhi kwenye hii mitandao ni hicho, hivi kuna ulazima wa kunihusianisha na watu walioko kwenye contacts? Nikitaka akaunti ambayo haitagusiana na watu wangu nafanyaje?Kuna mtu wako wakaribu alikuwa anafuatilia hizo mambo, alogarithm yake ikawa inableed kwenye alogarithm yako.
Content/preferences zake zikaanza kuathiri kile ambacho algorithm yako inakupendekezea.
Nzuri sana, marafiki zangu wameanza kutumia zamaniiii wakawa wananishawishi nijiunge, nikawagomea.Mimi pia TikTok nimeanza kuitumia mwaka jana na sina mpango wa kuacha