Members wa JF baadhi wanafiki sana, wanajifanyaga wako sayari nyingine

Members wa JF baadhi wanafiki sana, wanajifanyaga wako sayari nyingine

wanajifanya hawajui kinachoendelea instagram
kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote...

ukimpa stori ya Facebook mtu wa jf anakwambia nilifunga miaka 10 iliyopita.situmii kabisa
Halafu unajiuliza, huyu mtu anajuaje kila kitu kinachotrend kwa sababu ukiangalia mijadala ya humu ndani asilimia kubwa ni mambo yaliyotoka TikTok, Instagram au Facebook.

Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko...me hayo maisha ya kinafki ndo siyapendi
Am 56 and available all over the places all time. Ila niko selective with the kind of information that i want, am filtering, what info to access and what not.
 
Ila tuwe wakweli Mwanaume SNAPCHAT AU TIKTOK unatafuta nini ?
Snapchat kweli uongo ila sijawahi kuitumia ila najua tu ni ya wanawake kuji edit picha ila tiktok nakukatalia tiktok wako vizuri sana kikubwa usifollow ovyo watu wa ovyo follow your niche na itakuletea content zako….meta ukiondoa Facebook hamuwez TikTok yaani tiktok isimame na instagram aisee tiktok anashinda sema tu wengi simu zao hakuna uwezo kuhimili tiktok engine yake Ina power sana simu nyingi Hawaii kuhimili
 
ID nyingi humu ni Wala ugimbi ,hoe hae na makapuku wa kiwango cha lami mkuu..hua nasoma maandiko Yao nacheka sana..yaan JF iwe na watu wenye akili kuliko Facebook??kwa lipi hasa?
Nina account Facebook.
Ukweli huo Ni Kati ya mtandao abao Kuna scam na fraud nyingi sana.
Utapeli mwiki, fake niite parody account bza watu mashuhuri kila kona.
Kuna muda palikuwa sehemu sahihi kwa matangazo ya biashara lakini sasa matapeli wengi mno.
Mambo mazuri pia yamo ila uwe na kichwa kizuri kutambua kipi sahihi kipi ulaghai.
AI generated content nyingi mno.
 
Mtoa mada unapenda umbea sana😁

Uwezo wako ni wa levo za wale machoko wa insta na dada zo kina zuchu😁

I enjoy your meltdown, aya andika uzi mwingine wa makasiriko
 
wanajifanya hawajui kinachoendelea instagram
kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote...

ukimpa stori ya Facebook mtu wa jf anakwambia nilifunga miaka 10 iliyopita.situmii kabisa
Halafu unajiuliza, huyu mtu anajuaje kila kitu kinachotrend kwa sababu ukiangalia mijadala ya humu ndani asilimia kubwa ni mambo yaliyotoka TikTok, Instagram au Facebook.

Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko...me hayo maisha ya kinafki ndo siyapendi
Tiktok, fb na hata Instagram kwa biashara na kupata watu wengi huko ni kwake. Sasa mtu ukisema watumia jf peke ake unataka umfikie nan?

Kwanza hii mitandao yote inakupa unachokitakaa, ukiona tiktok wanakupa habari za mashoga ujue wew ndie mpenzi wa hizo habari.

Kutokutumiaa hiyo mitandao ndio ushambaa wenyewe.
 
Unahisi kila mtu ni mfanyabiashara?
 
Wanajifanya hawajui kinachoendelea Instagram kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote.

Ukimpa stori ya Facebook mtu wa JF anakwambia nilifunga miaka 10 iliyopita, situmii kabisa. Halafu unajiuliza, huyu mtu anajuaje kila kitu kinachotrend kwa sababu ukiangalia mijadala ya humu ndani asilimia kubwa ni mambo yaliyotoka TikTok, Instagram au Facebook.

Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko, me hayo maisha ya kinafiki ndo siyapendi.
Acha utoto. Wengine humu tunakaribia 50yrs. wengi wapo above 50 pia unategemea watu kama hao wahangaike na Tiktok? Hio ni mitandao ya new generation na JF ni old school watoto mmejichanganya tu. Halafu kuwa makini usifanye kila wanachofanya huko eastern asia.
 
Back
Top Bottom