Members wa JF baadhi wanafiki sana, wanajifanyaga wako sayari nyingine

Members wa JF baadhi wanafiki sana, wanajifanyaga wako sayari nyingine

Upende usipende ndo hawataisha hiyo ni asili ya mtu. Wengine Hatuwezi kuandika sana tunasoma zaodi , nyie mnao weza fikirini vya kuandika vitusaidie, sasa kama hii inatusaidia nn mkuu kumwaga hisia zako kaa mwanamke.
 
Ngoja niende TikTok ni download nkamcheki Resty Vs Niffer

Nimeanza ilivyo ingia sokoni najuta kuidharau saa hz ningekuwa condendi creators

Cc loose Nut karrrrrrribu babanguuuu
 
Back
Top Bottom