ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
sijajua unamaanisha nini ...mimi zamani sikuwepo tiktok kwa sababu ilikuwa inahitaji sana uwe na simu yenye uwezo mkubwa ila nilijuaga ni sawa na instagram sana ila kwa sasa nilipo ukanda wa kusini mashariki mwa asia tiktok ina tiktok shop ambayo inachuana na shopee,alibaba n.k so huwezi kuikwepa tiktok ndo maana ina watumiaji zaidi ya billion labda huko bongo ndo inatumiwa vibaya..ma influencer wote wa ASIA wanaharakati wote wana followers wengi tiktok zaidi ya mitandao mingine yoteTiktok Ni Mtandao Wa Walegeza Viuno,Inafikirisha Na Kuleta Ukakasi Sana Mwanaume Kutumia Tiktok.
Hata mimi nilidhani hivyo lakini Tiktok ni nzuri kwa biashara.Tiktok Ni Mtandao Wa Walegeza Viuno,Inafikirisha Na Kuleta Ukakasi Sana Mwanaume Kutumia Tiktok.
si ile slogan yetu ya kwamba sisi ni ma greater thinker ndo inafanya baadhi ya watu wajione wao ndo matawi wao ndo watu waliopo kwenye platform ya watu wenye akili sana tanzania nzima...labda uniambie jamiiforum ya 2023 kurudi nyuma hukoID nyingi humu ni Wala ugimbi ,hoe hae na makapuku wa kiwango cha lami mkuu..hua nasoma maandiko Yao nacheka sana..yaan JF iwe na watu wenye akili kuliko Facebook??kwa lipi hasa?
TikTok, Facebook, Instagram ni mitandao ya kijamii yenye hadhi ya kidunia , watumiaji wananufaika hata kwa malipo ya moja kwa moja..humu JF tunapiga soga tu na nakusubiri ban za mods na faida kubwa ni nyuzi za members.Mtando mzuri wa kutoa stress .Ila tuliowengi humu tunatumia utambulisho wetu wa kweli huko kwenye mitandao ya hadhi ya kiduniaHata mimi nilidhani hivyo lakini Tiktok ni nzuri kwa biashara.
Hakuna u great thinker wowote humu jukwaani, hili jukwaa liko kitaifa zaidi ,hivyo mara nyingi linajikuta linabeba mada nyingi za kitaifa na masuala ya nchi .Lakini limekua likitumika kupush ajenda kadhaa za kisiasa na kijamii Hali inayowafanya waleta ajenda wajione wenye akili kutokana na wingi wa wachangiaji wa ajenda hizo..Lakini huu ni moja ya mitandao ya kawaida mnoo tena bugilabugilasi ile slogan yetu ya kwamba sisi ni ma greater thinker ndo inafanya baadhi ya watu wajione wao ndo matawi wao ndo watu waliopo kwenye platform ya watu wenye akili sana tanzania nzima...labda uniambie jamiiforum ya 2023 kurudi nyuma huko
Umejuaje?Tiktok Ni Mtandao Wa Walegeza Viuno,Inafikirisha Na Kuleta Ukakasi Sana Mwanaume Kutumia Tiktok.
wanajifanya hawajui kinachoendelea instagram
kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote...
ukimpa stori ya Facebook mtu wa jf anakwambia nilifunga miaka 10 iliyopita.situmii kabisa
Halafu unajiuliza, huyu mtu anajuaje kila kitu kinachotrend kwa sababu ukiangalia mijadala ya humu ndani asilimia kubwa ni mambo yaliyotoka TikTok, Instagram au Facebook.
Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko...me hayo maisha ya kinafki ndo siyapendi
Kwani usichoelewa hapo nini mkuu?Kutokuwepo TikTok ni kuwa sayari nyingine??
Vp kama anatumia kwenye biashara zake?Ila tuwe wakweli Mwanaume SNAPCHAT AU TIKTOK unatafuta nini ?
Labda biashara kule ni wauza NYAPU tuBP kama anatumia kwenye biashara zake?
Jamiiforums ni nyumbani huko kwengine tumewaachia Kizazi cha sasa, usiumie Mkuu kila mtu ana uhuru wake wa kaandika chochote pasipo kuvunja kanuni, miongozo na sheria.wanajifanya hawajui kinachoendelea instagram
kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote...
ukimpa stori ya Facebook mtu wa jf anakwambia nilifunga miaka 10 iliyopita.situmii kabisa
Halafu unajiuliza, huyu mtu anajuaje kila kitu kinachotrend kwa sababu ukiangalia mijadala ya humu ndani asilimia kubwa ni mambo yaliyotoka TikTok, Instagram au Facebook.
Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko...me hayo maisha ya kinafki ndo siyapendi
So ukiingia tuu tik tok Unakutana na nyapu?Labda biashara kule ni wauza NYAPU tu
Ingia uone mi nilishika simu ya mtu namheshimu Ana TIKTOK nilikaa nayo siku 3 hapana aiseeSo ukiingia tuu tik tok Unakutana na nyapu?
Nilidownload kipindi cha October 29...na sikufanikiwa kutumia nikaifutaIla tuwe wakweli Mwanaume SNAPCHAT AU TIKTOK unatafuta nini ?