Am 56 and available all over the places all time. Ila niko selective with the kind of information that i want, am filtering, what info to access and what not.wanajifanya hawajui kinachoendelea instagram
kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote...
ukimpa stori ya Facebook mtu wa jf anakwambia nilifunga miaka 10 iliyopita.situmii kabisa
Halafu unajiuliza, huyu mtu anajuaje kila kitu kinachotrend kwa sababu ukiangalia mijadala ya humu ndani asilimia kubwa ni mambo yaliyotoka TikTok, Instagram au Facebook.
Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko...me hayo maisha ya kinafki ndo siyapendi
Ulishika simu ya mtu anayependa hizo ishu, h mitandao inakulisha unachokitaka ww mwnyw, huwez kupenda mambo ya nyapu afu uletewe contents za injiliIngia uone mi nilishika simu ya mtu namheshimu Ana TIKTOK nilikaa nayo siku 3 hapana aisee
Snapchat kweli uongo ila sijawahi kuitumia ila najua tu ni ya wanawake kuji edit picha ila tiktok nakukatalia tiktok wako vizuri sana kikubwa usifollow ovyo watu wa ovyo follow your niche na itakuletea content zako….meta ukiondoa Facebook hamuwez TikTok yaani tiktok isimame na instagram aisee tiktok anashinda sema tu wengi simu zao hakuna uwezo kuhimili tiktok engine yake Ina power sana simu nyingi Hawaii kuhimiliIla tuwe wakweli Mwanaume SNAPCHAT AU TIKTOK unatafuta nini ?
Nikweli mkuu kwa mtu anaejielewa TIKTOK hapafai!!!Ingia uone mi nilishika simu ya mtu namheshimu Ana TIKTOK nilikaa nayo siku 3 hapana aisee
Nina account Facebook.ID nyingi humu ni Wala ugimbi ,hoe hae na makapuku wa kiwango cha lami mkuu..hua nasoma maandiko Yao nacheka sana..yaan JF iwe na watu wenye akili kuliko Facebook??kwa lipi hasa?
Haswa kama unalenga sana vijana.Hata mimi nilidhani hivyo lakini Tiktok ni nzuri kwa biashara.
Mimi nilikua naletewa habari za wasagaji na mashoga nikawa naignore hizo pages mpaka nikachoka.Ulishika simu ya mtu anayependa hizo ishu, h mitandao inakulisha unachokitaka ww mwnyw, huwez kupenda mambo ya nyapu afu uletewe contents za injili
Tiktok, fb na hata Instagram kwa biashara na kupata watu wengi huko ni kwake. Sasa mtu ukisema watumia jf peke ake unataka umfikie nan?wanajifanya hawajui kinachoendelea instagram
kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote...
ukimpa stori ya Facebook mtu wa jf anakwambia nilifunga miaka 10 iliyopita.situmii kabisa
Halafu unajiuliza, huyu mtu anajuaje kila kitu kinachotrend kwa sababu ukiangalia mijadala ya humu ndani asilimia kubwa ni mambo yaliyotoka TikTok, Instagram au Facebook.
Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko...me hayo maisha ya kinafki ndo siyapendi
Unahisi kila mtu ni mfanyabiashara?Tiktok, fb na hata Instagram kwa biashara na kupata watu wengi huko ni kwake. Sasa mtu ukisema watumia jf peke ake unataka umfikie nan?
Kwanza hii mitandao yote inakupa unachokitakaa, ukiona tiktok wanakupa habari za mashoga ujue wew ndie mpenzi wa hizo habari.
Kutokutumiaa hiyo mitandao ndio ushambaa wenyewe.
Watu wa humu wana stress sana aisee, ila Jf inatoa taswira halisi ya watanzania walio wengi, ukionyesha tu kuwa uko tofauti kidogo tu na wao wanajam vibaya mno.Kutokuwepo TikTok ni kuwa sayari nyingine??
Acha utoto. Wengine humu tunakaribia 50yrs. wengi wapo above 50 pia unategemea watu kama hao wahangaike na Tiktok? Hio ni mitandao ya new generation na JF ni old school watoto mmejichanganya tu. Halafu kuwa makini usifanye kila wanachofanya huko eastern asia.Wanajifanya hawajui kinachoendelea Instagram kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote.
Ukimpa stori ya Facebook mtu wa JF anakwambia nilifunga miaka 10 iliyopita, situmii kabisa. Halafu unajiuliza, huyu mtu anajuaje kila kitu kinachotrend kwa sababu ukiangalia mijadala ya humu ndani asilimia kubwa ni mambo yaliyotoka TikTok, Instagram au Facebook.
Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko, me hayo maisha ya kinafiki ndo siyapendi.
Social media zote nzuri kwa Biashara, Binafsi nazitumia sana,kwa akaunti zangu za KAZIHata mimi nilidhani hivyo lakini Tiktok ni nzuri kwa biashara.
Hahahaha,Bora umeliona hiliWatu wa humu wana stress sana aisee, ila Jf inatoa taswira halisi ya watanzania walio wengi, ukionyesha tu kuwa uko tofauti kidogo tu na wao wanajam vibaya mno.